Nimechelewa mjini , Huu msemo wa "AFTATU" unamaanisha nini?

master of cities

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2015
Posts
429
Reaction score
625
Jamii forum ina majibu ya kila swali , kuanzia maswali ya msingi mpak ya kijinga yote Yana majibu sahihi kupitia JF, mtandaoni sa hv ni vurugu mechi.

Kila Kona ni meme za "AFTATU " ndo zinatembea , daah kuuliza sio ujinga , ulianzaje na maana yake nn .... Kwa mwenye uelewa anitoe tongo tongo

IMG_20221110_110510.jpg
 
Kifupi ni hivi'
Kuna clip inazagaa mtandaoni yaan mzee alienda mochwari kuchukua maiti alikua na AFTATU wahudumu wakamwambia ni zaidi ya MILLION...Akaanza kulia akisema amemkumbuka nyerere kama angekuepo angempa hyo maiti kwa AFTATU...

Kinachochekesha zaid alipewa juice kama kupoza maumivu,akaacha na kulia hapohapo....nenda kwenye instagram page ya ben paul ndio kapost.
 
Ooh sawaaa daah, ahsante mkuu
 
Jamii forum ina majibu ya kila swali , kuanzia maswali ya msingi mpak ya kijinga yote Yana majibu sahihi kupitia JF, mtandaoni sa hv ni vurugu mechi.

Kila Kona ni meme za "AFTATU " ndo zinatembea , daah kuuliza sio ujinga , ulianzaje na maana yake nn .... Kwa mwenye uelewa anitoe tongo tongo

View attachment 2412223
Bei elekezi ya wamama wa vikoba
 
Kifupi ni hivi'
Kuna clip inazagaa mtandaoni yaan mzee alienda mochwari kuchukua maiti alikua na AFTATU wahudumu wakamwambia ni zaidi ya MILLION...Akaanza kulia akisema amemkumbuka nyerere kama angekuepo angempa hyo maiti kwa AFTATU...

Kinachochekesha zaid alipewa juice kama kupoza maumivu,akaacha na kulia hapohapo....nenda kwenye instagram page ya ben paul ndio kapost.
Vp kuhusu hyo mzee mwenye suti alianza kusema kuwa alimpa jamaa shiling20 jamaa ktk hzo pesa akampatia afu tatu
 
Back
Top Bottom