Sisi tuliozaliwa dar tunataka tukazeekee shamba, ndo mana tumenunua kimbiji huko.Naombeni ushauri wadau waliofanikiwa baada ya kuwaza kama mimi.Mimi ni muajiliwa(kibarua) kampuni flani kwa sababu sina mkataba wowote sasa imefika muda kazi nimeifanya kwa muda mrefu sana nimechoka hivyo nataka nimwambie HR wa kampuni anipe barua yangu ya kuachishwa kazi,ili niipeleke NSSF nikavute hicho kidogo kilichoko huko nikajiajili dar es salaam.
N:B
Naishi mkoani,nimezaliwa mkoani,nimekulia mkoani lakinj ndoto zangu ni kuishi dar na kuzeekea dar.
= kuajiriwa.Naombeni ushauri wadau waliofanikiwa baada ya kuwaza kama mimi. Mimi ni muajiliwa(kibarua) kampuni flani kwa sababu sina mkataba wowote sasa imefika muda kazi nimeifanya kwa muda mrefu sana nimechoka hivyo nataka nimwambie HR wa kampuni anipe barua yangu ya kuachishwa kazi ili niipeleke NSSF nikavute hicho kidogo kilichoko huko nikajiajiri Dar es Salaam.
N:B: Naishi mkoani, nimezaliwa mkoani, nimekulia mkoani lakinj ndoto zangu ni kuishi Dar na kuzeekea Dar.
Kuna kampuni kila mwezi mtu anaacha kaziVikampuni uchwara 😂
🤣Make hapo kwanza Nicheke all the best mkuu kuna daslam, kuna dar afu kuna kuna Dar-es-alaam unataka kuish wapiNaombeni ushauri wadau waliofanikiwa baada ya kuwaza kama mimi. Mimi ni muajiliwa(kibarua) kampuni flani kwa sababu sina mkataba wowote sasa imefika muda kazi nimeifanya kwa muda mrefu sana nimechoka hivyo nataka nimwambie HR wa kampuni anipe barua yangu ya kuachishwa kazi ili niipeleke NSSF nikavute hicho kidogo kilichoko huko nikajiajiri Dar es Salaam.
N:B: Naishi mkoani, nimezaliwa mkoani, nimekulia mkoani lakinj ndoto zangu ni kuishi Dar na kuzeekea Dar.
kampuni yenye uhai inatakiwa kila siku wafanyakazi waingie na kuwacha/wachishwa.Kuna kampuni kila mwezi mtu anaacha kazi
Nyie ndo mnatreat wafanyakazi kama mbuzikampuni yenye uhai inatakiwa kila siku wafanyakazi waingie na kuwacha/wachishwa.
Serikali ndiyo mtu anaganda toka anamaliza shule mpaka anastaafu au anafia hapo hapo.
Ukiona mtu hawachiwi kuondoka na kampuni binafsi elewa kuwa huyo ni mali (asset) muhimu sana.
Mfanyakazi kwenye kampuni binafsi anapimwa kama mali (asset) yoyote ile, kuna "appreciation" na "depreciation". Mali (asset) ikifikia kuwa dhima (liability) haina sababu ya kubaki kwenye kampuni.
Umeongea kutoka moyoniNyie ndo mnatreat wafanyakazi kama mbuzi
kampuni yenye uhai inatakiwa kila siku wafanyakazi waingie na kuwacha/wachishwa.
Serikali ndiyo mtu anaganda toka anamaliza shule mpaka anastaafu au anafia hapo hapo.
Ukiona mtu hawachiwi kuondoka na kampuni binafsi elewa kuwa huyo ni mali (asset) muhimu sana.
Mfanyakazi kwenye kampuni binafsi anapimwa kama mali (asset) yoyote ile, kuna "appreciation" na "depreciation". Mali (asset) ikifikia kuwa dhima (liability) haina sababu ya kubaki kwenye kampuni.
Nisome tena utanielewa tu.Kampuni kama clouds watu kama ni Kennedy,mena ally wanamda mrefu pale
Nikiwahi kufanya kazi golden tulip moja hiv. Kumamae wale wahindi ni nyoko! Nilikaaga miez mitatu tu nikala konaUmeongea kutoka moyoni