Mbuzi ana faida, tunam treat kwa kumtunza, anakuzalia, unakula nyama yake na ukiona hana faida unamuuza.Nyie ndo mnatreat wafanyakazi kama mbuzi
π€£Dah pole mkuu mhindi, mchina na mwarabu na mjerumani kutumikisha wafanyakazi ni kama Tako na nyonga haviachaniNikiwahi kufanya kazi golden tulip moja hiv. Kumamae wale wahindi ni nyoko! Nilikaaga miez mitatu tu nikala kona
Umeshatoka hospital mkuu? Hali yako ikoje sasa?Mwaka 2004 niliwahi kuwa na mawazo kama haya, nilipo chukua NSSF ilikwisha hata sikujua imeishaje.
Leo hii nimerudi, mwaka wa 20 kwenye ajira tuliokua tukiita (kazi za kijinga) na mafanikio nimeyaona aiseee
Watu wanamtukana mamba na mto wanavuka huenda ndugu yetu amefukia fedhaKazi mbaya ukiwa nayo mzee π ikifikia stage mpaka kula yako inakuwa ya shida utakikumbuka hiko kikampuni uchwara
Biaahar ni ngum kuliko ajira. Waliowah au wanaofanya biashar watakuambia. Unataka kufanya biashara ganπ€£Dah pole mkuu mhindi, mchina na mwarabu na mjerumani kutumikisha wafanyakazi ni kama Tako na nyonga haviachani
Ajira ni ngumu brooBiaahar ni ngum kuliko ajira. Waliowah au wanaofanya biashar watakuambia. Unataka kufanya biashara gan
SIrikalini sasa ipo ppp ambayo ni pete na chanda na hiyo private sector unayoiona uchara hapa sasa sijui majobless unatuacha njia panda gani,ya kigongo busisi,ya makoroboi ya segera,ya makuyuni ama ya wapi?Naombeni ushauri wadau waliofanikiwa baada ya kuwaza kama mimi. Mimi ni muajiliwa(kibarua) kampuni flani kwa sababu sina mkataba wowote sasa imefika muda kazi nimeifanya kwa muda mrefu sana nimechoka hivyo nataka nimwambie HR wa kampuni anipe barua yangu ya kuachishwa kazi ili niipeleke NSSF nikavute hicho kidogo kilichoko huko nikajiajiri Dar es Salaam.
N:B: Naishi mkoani, nimezaliwa mkoani, nimekulia mkoani lakinj ndoto zangu ni kuishi Dar na kuzeekea Dar.
Umefanya kazi kampuni za mikopo nn?Ajira ni ngumu broo
UTuachie mafaoSisi hatukuachishi kazi tunataka utoroke mwenyewe
Naendelea uzuri, niliruhusiwa lakini bado nitarejea tena hospitalUmeshatoka hospital mkuu? Hali yako ikoje sasa?
Haya nipangilie kwani inachukua miezi mingapi baada ya kuwasilisha barua ya maombi?Nssf haitoi pesa kirahisi hivyo mkuu
Nipe 2,3 wapi ntaanzia japokua sijazoea hustlingSo mkuu unataka kuja kujaribu maisha hapa dream city.
Kiufupi wewe njoo kama unajikubali wewe ni hustler.
mawazo yangu pengine hafifu yananifanya nijiulize maswali mbona nyie mnaishi dar basi mi pia nataka nije kufanya mishe kama zenu lakini ziwe za kihalali tu.Sisi tuliozaliwa dar tunataka tukazeekee shamba, ndo mana tumenunua kimbiji huko.
Unataka kuja kufanya biashara gani ukishatoa hela yako huko nssf
Kwa hiyo kwa tathimini yako kulingana na bandiko langu. Je, mimi ni asset au liability?kampuni yenye uhai inatakiwa kila siku wafanyakazi waingie na kuwacha/wachishwa.
Serikali ndiyo mtu anaganda toka anamaliza shule mpaka anastaafu au anafia hapo hapo.
Ukiona mtu hawachiwi kuondoka na kampuni binafsi elewa kuwa huyo ni mali (asset) muhimu sana.
Mfanyakazi kwenye kampuni binafsi anapimwa kama mali (asset) yoyote ile, kuna "appreciation" na "depreciation". Mali (asset) ikifikia kuwa dhima (liability) haina sababu ya kubaki kwenye kampuni.