Adolph Jr
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 5,950
- 9,511
Wasalaam wana JF.
Ni muda mrefu sasa (zaidi ya miaka 30) nimekuwa mshabiki wa movie za vita, uhasama, ubabe na umafia kati ya bin adam na bin adam ila imetokea ghafla kuanza kuona hakuna jipya kwani nikutafuta sifa baina ya mtu na mtu au taifa fulani na jingine.
Nimeamua kwenda na hii.
Animation movies.
Ni kwamba nimetokea kuzipenda sana movie za kutunga wahusika na visa vinavyoendana na maisha halisi na siyo...
U.S.A vs China.
China vs Japan.
U.S.A vs Russia.
U.S.A vs Vietnam.
Animation movies.
1:Zootopian,
Inafundisha jinsi ya kupambania ndoto zako za maisha na talent yako ata kama utakutana na vikwazo vya kuhatarisha maisha yako bila kusahau burudani na nyimbo zilizopambwa na mnenguaji (Shakira).
2Dog boy, (Rocky boy)
Mzazi anamlazimisha kijana kuwa mlinzi (Askali) wa kijiji kama alivyo yeye ila kijana hana mpango huo, roho yake imejaa hisia za music wa rocky, Inatufundisha kupambania vipaji ama vipawa vyetu.
3:Bellerin,
Yatima wawili wanatoroka kwenye nyumba ya kulelea watoto yatima kwenda kupambania ndoto zao kilichotokea ni burudani sana.Ujasiri
4:Zeus (The rolex maker).
Kijana anakata miti ovyo ili kutengenezea mavazi, kakata miti sana , katengeneza pesa sana, tatizo linatokea pale anapokata mti wa mwisho na kugundu kaharibu mazingira mno. (Tusiharibu mazingira) LET IT GROW.
5: Avatar 1&2,
Wamejibadilisha na kuwa viumbe wenye mikia na warefu kuliko binadamu wa kawaida, baadae wamegundua kuna uharibifu wa mazingira, lazima wapambane nao.
Zipo nyingi ila hizo ni mfano.
Weka zingine kama zipo ili ziweze kuendeleza ulimwengu wa burudani na kuelimisha (The role of any literature genre)