Nimechoka kuangalia movie za binadamu kuuana nimeamua kwenda na hii

Nimechoka kuangalia movie za binadamu kuuana nimeamua kwenda na hii

Napenda animation nimeshacheck baadhi ziko on fire,
1. Luck hii inahusu ulimwengu wa bahati, kuna manzi alikuwa anaishi ktk kituo cha kulelea watoto yatima na hakuwahi kuwa adopted mpk anakuwa mtu mzma. Hata alipoenda kweny maisha maisha kawaida ya kujitegemea mambo mengi yanaenda vibaya, kila anachogusa kinaharibuka au kwenda tofauti na mpangilio mpk alipokutana na paka flan anaetokea kwenye ulimwengu wa bahati the lucky world ambapo anapata kishiringi flan kinacholeta bahati. Adventures of exploration start from there. Iangalie na wewe afu utuletee mrejesho

2.
THE CROODS bonge moja la animation linalohusu familia ya mapangoni, wao sio binadamu wa kawaida wanasifa kama wild animals, kila mwanafamilia Ana special ability yake then wanakuja kukutana na mwanadamu anaeungana nao katika familia hiyo na kushinda hatari pamoja, mwanadamu huyo wanampa jina guy. Yes, guy anakuja na experience zake wanashea pamoja harakati za kila siku kuweza kusurvive zaidi ya yote guy anafall in love na msichana pekee pendwa wa CROODS family na hapo ndo zinatokea ups and downs, adventures, funny moments .. Zipo CROODS 1 and 2 Go watch them and have fun

3. RANGO hii ni miongoni mwa animation bora ya muda wote, imetoka kitambo kidogo lakini ukiiona utadhani imetoka jana. Nice story and boldness from the star boy wa animation husika Mr RANGO. Alikuwa anatumika kama mdoli wa kweny gari mpaka pale gari lilipopata ajali ndipo RANGO akaanza adventure yake binafsi on the way to survive anafika eneo la jangwa ambako watu wake waliishi maisha ya kunyanyasika kutokana na uhaba wa maji, ubabe wa ndege EAGLE bila kusahau the baddest of them all Mr SNAKE. Ujio wa RANGO unaenda kubadili kila kitu katika eneo lile,, take your Time to watch and enjoy almost every scene

Nitakuja na zingine next time, sasa ivi kaangalie izo kwanza afu njoo useme kama ni za kitoto au vipi​
Luck kazi nzuri sana hua sichoki kuitazama pia Kuna CoCo hii kwangu ndo animation bora ya muda wote
Screenshot_20250304-221004.jpg
 
Wasalaam wana JF.

Ni muda mrefu sasa (zaidi ya miaka 30) nimekuwa mshabiki wa movie za vita, uhasama, ubabe na umafia kati ya bin adam na bin adam ila imetokea ghafla kuanza kuona hakuna jipya kwani nikutafuta sifa baina ya mtu na mtu au taifa fulani na jingine.

Nimeamua kwenda na hii.

Animation movies.

Ni kwamba nimetokea kuzipenda sana movie za kutunga wahusika na visa vinavyoendana na maisha halisi na siyo...
U.S.A vs China.
China vs Japan.
U.S.A vs Russia.
U.S.A vs Vietnam.

Animation movies.

1:Zootopian,
Inafundisha jinsi ya kupambania ndoto zako za maisha na talent yako ata kama utakutana na vikwazo vya kuhatarisha maisha yako bila kusahau burudani na nyimbo zilizopambwa na mnenguaji (Shakira).

2Dog boy, (Rocky boy)
Mzazi anamlazimisha kijana kuwa mlinzi (Askali) wa kijiji kama alivyo yeye ila kijana hana mpango huo, roho yake imejaa hisia za music wa rocky, Inatufundisha kupambania vipaji ama vipawa vyetu.

3:Bellerin,
Yatima wawili wanatoroka kwenye nyumba ya kulelea watoto yatima kwenda kupambania ndoto zao kilichotokea ni burudani sana.Ujasiri

4:Zeus (The rolex maker).
Kijana anakata miti ovyo ili kutengenezea mavazi, kakata miti sana , katengeneza pesa sana, tatizo linatokea pale anapokata mti wa mwisho na kugundu kaharibu mazingira mno. (Tusiharibu mazingira) LET IT GROW.

5: Avatar 1&2,
Wamejibadilisha na kuwa viumbe wenye mikia na warefu kuliko binadamu wa kawaida, baadae wamegundua kuna uharibifu wa mazingira, lazima wapambane nao.

Zipo nyingi ila hizo ni mfano.

Weka zingine kama zipo ili ziweze kuendeleza ulimwengu wa burudani na kuelimisha (The role of any literature genre)
Kuna movie la kutisha tokea kupata uhuru.
IMG_0612.jpeg
 
Napenda animation nimeshacheck baadhi ziko on fire,
1. Luck hii inahusu ulimwengu wa bahati, kuna manzi alikuwa anaishi ktk kituo cha kulelea watoto yatima na hakuwahi kuwa adopted mpk anakuwa mtu mzma. Hata alipoenda kweny maisha maisha kawaida ya kujitegemea mambo mengi yanaenda vibaya, kila anachogusa kinaharibuka au kwenda tofauti na mpangilio mpk alipokutana na paka flan anaetokea kwenye ulimwengu wa bahati the lucky world ambapo anapata kishiringi flan kinacholeta bahati. Adventures of exploration start from there. Iangalie na wewe afu utuletee mrejesho

2.
THE CROODS bonge moja la animation linalohusu familia ya mapangoni, wao sio binadamu wa kawaida wanasifa kama wild animals, kila mwanafamilia Ana special ability yake then wanakuja kukutana na mwanadamu anaeungana nao katika familia hiyo na kushinda hatari pamoja, mwanadamu huyo wanampa jina guy. Yes, guy anakuja na experience zake wanashea pamoja harakati za kila siku kuweza kusurvive zaidi ya yote guy anafall in love na msichana pekee pendwa wa CROODS family na hapo ndo zinatokea ups and downs, adventures, funny moments .. Zipo CROODS 1 and 2 Go watch them and have fun

3. RANGO hii ni miongoni mwa animation bora ya muda wote, imetoka kitambo kidogo lakini ukiiona utadhani imetoka jana. Nice story and boldness from the star boy wa animation husika Mr RANGO. Alikuwa anatumika kama mdoli wa kweny gari mpaka pale gari lilipopata ajali ndipo RANGO akaanza adventure yake binafsi on the way to survive anafika eneo la jangwa ambako watu wake waliishi maisha ya kunyanyasika kutokana na uhaba wa maji, ubabe wa ndege EAGLE bila kusahau the baddest of them all Mr SNAKE. Ujio wa RANGO unaenda kubadili kila kitu katika eneo lile,, take your Time to watch and enjoy almost every scene

Nitakuja na zingine next time, sasa ivi kaangalie izo kwanza afu njoo useme kama ni za kitoto au vipi​
Nimezipenda na zote ninazo kama hiyo Cloods 1&2
 
Zipo pia animation za China/Japan.

Wachina
1. Legend of Hei
2. Nezha reborn
3. Kings Avatar (Series) etc

Japan nyingi series ila kama unataka kuingia ulimwengi WA Anime unaweza ukaanza na Atack of the Titan.
Ooooh nimekumbuka Nezha vijana walizaliwa wawili kwa mpigo (mmoja wa mfalme na mmoja wa dragon) ila wakati wa kupewa uhai nafsi zikachanganyika ya nezha kijana mzuri ikaenda kwa dragon mbaya na ya dragon ikaenda kwa Nezha.Tatizo linaanza tu anapozaliwa Nezha😅😅.

Kijiji kizima kilihama kwa muda.

Ngoja niitafute hiyo Legend of hei ila series sipendi maana zinanipotezea muda na Concentration...
 
Nezha hii ni nyengine, Nezha reborn, imetake place futuristic civilization ila ina mix ya folk stories za Kichina.
 
WALL-E
Kung Fu Panda
Real Steel
Astro Boy
I, Robot
Inside Out
Madagascar
Finding Nemo
Big Hero 6
The Incredibles

Hizi ndio animation zangu kalii za muda wote
Eti nimeona moja tu, kung fu panda, labda na hiyo the madagascas penguin.
 
Attachments

  • Ratatouille (2007) Trailer _1 _ Movieclips Classic Trailers(144P).mp4
    2.2 MB
WALL-E
Kung Fu Panda
Real Steel
Astro Boy
I, Robot
Inside Out
Madagascar
Finding Nemo
Big Hero 6
The Incredibles

Hizi ndio animation zangu kalii za muda wote

Licha ya kuwa ni sci-fi movie ila naikubali mno ina-predict future life.
 
Cheki hizi, ata kama una madogo angalia nao hazina noma:

1. Flow
2. Inside Out 2
3. Moana 2
4. Despicable Me 4
5. Mufasa: The Lion King
6. Kung Fu Panda 4
7. The Wild Robot
8. Memoir of a Snail
9. Spider Man: Across the Spider Verse
10. Elemental
 
1. Sing 1&2
2. Coco
3. The hotel transylvania 1,2,3&4
4. Despicable me 1,2,3&4
5. Ice age 1,2,3,4&5
6. The secret life of pets 1&2
7. Captain under pants
8. Kungfu Panda 1,2,3 & 4
9. Rango
10. Ted the lost explorer 1&2
11. Madagascar (zote)
12. The lion king (zote)

Bonus
Luca
Ecanto
Moana
Toystory
Shrek

Hawa jamaa hawapendi mzaha kabisa na sanaa leo naenda na hii
 
Cheki hizi, ata kama una madogo angalia nao hazina noma:

1. Flow
2. Inside Out 2
3. Moana 2
4. Despicable Me 4
5. Mufasa: The Lion King
6. Kung Fu Panda 4
7. The Wild Robot
8. Memoir of a Snail
9. Spider Man: Across the Spider Verse
10. Elemental

Duuh...huyu main Character kama vile tlansmanian devil 😅😅 ok...
 
Cheki hizi, ata kama una madogo angalia nao hazina noma:

1. Flow
2. Inside Out 2
3. Moana 2
4. Despicable Me 4
5. Mufasa: The Lion King
6. Kung Fu Panda 4
7. The Wild Robot
8. Memoir of a Snail
9. Spider

Man: Across the Spider Verse
10. Elemental
kuwaka waka moto 🤔🤔...hebu ngoja...
 
Back
Top Bottom