Nimechoka kudangangwa na kina dj Mark, Nataka niifaidi Soundbar yangu

Nimechoka kudangangwa na kina dj Mark, Nataka niifaidi Soundbar yangu

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,559
Reaction score
8,318
Wakuu msaada, nahitaji sana kujua kizungu cha kusikiliza hasa cha kwenye movie za wazungu. Najua kusoma na kuandika kiingereza.

Mswahili mwenzangu pia akiongea kizungu naelewa kiaina, kimbembe kipo wakiongea wazungu na black america naambulia kidogo sana.

Napenda sana movies za Hollywood, nikisoma subtitle naelewa lakini kwa kusikiliza tu sielewi hivyo inabidi sometimes nitafute movie zilizotafsiriwa ambapo napo uongo ni mwingi sana, ubora wa picha na effects za sauti vinapungua kiasi kwamba nashindwa kufaidi TV yangu Toshiba yenye 4k UHD.

Pia nashindwa kuifaidi Soundbar yangu Vizio m512 yenye dts dolby atmos naona kama nilikula hasara kununua hivi vitu bora tu ningechukua tv na subwoofer za sundar, wakuu naombeni msaada wa kutatua hii changamoto yangu.
 
Endelea kutumia subttiles tu mkuu,kuwaelewa wale itakua vigumu sana,mle wanatumia lugha isiyo rasmi aka lugha ya mtaani
Mtu kama Lil Wayne utamuelewaje?mtu anaongea kama hataki.

Lakini ukizoea kuwasikiliza kwa muda utaanza kuelewa
 
Mimi uwa nikiwa nyumbani najiwekea movie zilizofsiriwa na akina DJ mack nakula raha zangu taratibu kwa sauti ya chini huku nimefunga milango na madirisha asijeingia mtu ghafla akagundua nikachekwa 😀😀
ila wakija wageni haswa wasomi wenzangu naweka za kizungu ambazo hazijqtafsiriwa ila nakuwa nimeshaziangalia siku nyingi hivyo naelewa nini ni nini kitafqnyika basi nachofanya nikujipakulia minyama pale nikiwa na wasomi wwenzangu ila ukweli uwa siwaelewi wanazungumza nini
 
😂😂😂😂😂
 
Nilikuwa napenda sana kusoma comics nilivyokuwa mdogo. Kutojua Kiingereza vizuri kulinifanya nione nakosa mengi. Nikawa nasoma comics kwa kutumia kamusi ya Kiingereza na Kiswahili iki kuelewa.

From Asterix to Tintin. From Archie to X-Men.

Pia novels zilisaidia sana kuniongezea msamiati. Hususan James Hadley Chase. Too many to mention.

Pia nilikuwa siachii magazeti na majarida yanipite. Kuanzia Africa Now mpaka Newsweek na Time.

This was back in the 1980s.

Nilikuwa namsikiliza DOC na nafuatilia mashairi yake neno kwa neno tangu mwaka 1990, mpaka kuandika mashairi, halafu nikawa nachukulia poa tu lile zoezi.

Baadaye ndiyo nikaja kugundua kuwa lile zoezi, pamoja na kuangalia CNN (Larry King Live) na Peter Jennings wa ABC yalikuwa mazoezi muhimu sana.

Pengine TV shows kama "The Cosby Show", "The Fresh Prince of Bel Air", "227", "A Different World", etc, helped a lot.

Moreover, reading helped a lot building my vocabulary. There is no substitute for reading.

View: https://youtu.be/GA2ny5m_bik?si=Bcw1Faqusjl4Unz9

View: https://youtu.be/UiPbeIXZpD4?si=11wF9RjciVz3xXBU
 
Endelea kutumia subttiles tu mkuu,kuwaelewa wale itakua vigumu sana,mle wanatumia lugha isiyo rasmi aka lugha ya mtaani
Mtu kama Lil Wayne utamuelewaje?mtu anaongea kama hataki.

Lakini ukizoea kuwasikiliza kwa muda utaanza kuelewa
Endelea kutumia subttiles tu mkuu,kuwaelewa wale itakua vigumu sana,mle wanatumia lugha isiyo rasmi aka lugha ya mtaani
Mtu kama Lil Wayne utamuelewaje?mtu anaongea kama hataki.

Lakini ukizoea kuwasikiliza kwa muda utaanza kuelewa
Lil Wayne anaeleweka kuna jemba za Florida hizo hata uwe profesa ukouko marekan huwez waelewa
 
There is no substitute to reading.
Reading ina improve vocabulary (misamiati) na grammar (jinsi ya kutunga sentensi)
Listening ina improve pronounciation (matamshi) na comprehension (uelewa)
Soma articles, vitabu na magazeti ya lugha unayoitaka
Angalia vipindi au debates za watu wakiongea hiyo lugha unayoitaka kwenye international radios na TV
Watangazaji wengi wa TZ hata majina na maneno ya Kiingereza hawajui kuyatamka matokeo yake ukiwasikiliza unaona wako sawa
Miaka ya nyuma tulisoma sana novels (za kina James Hadley Chase, Ludlum, wa kike walisoma Mills and Boon, Harold Robins), magazeti ya nje Ebony, New Africa, Africa Events, Newsweek, Economist na vitabu vingine kuongeza maarfia na kujua lugha
SIku hizi watu hawasomi kabisa
Unasafiri na mtu kwa train au ndege masaa 3-8 huoni mtu kashika kitabu wala gazeti ni simu kwenda mbele hata kama kuna ebooks ila wengi ni videos za you tube, tamthilia za kibongo,bongo fleva etc
Hujifunzi kitu kipya hapo unabaki kwenye cycle ile ile
You tube videos ni za vichekesho au ujinga mwingi matokeo watu hawajifunzi kitu kipya hasa lugha
CNN leo watu wanaifuatilia kwa sababu ya report ya Larry Madowo na bado mtu anakwambia nitafsirie wakati ni lugha basic kabisa na huyo jamaa ana accent at least ya ki Afrika inayoeleweka
Mwisho wa yote na muhimu zaidi zungumza hiyo lugha
Practice makes perfect
 
Achana na subtittle, sikiliza na angalia movies, tamthilia na soma vitabu vya kiingerezA.

Kujifunza kwa vitendo ndio kutakuwezeaha kuelewa kwa undani
 
Back
Top Bottom