There is no substitute to reading.
Reading ina improve vocabulary (misamiati) na grammar (jinsi ya kutunga sentensi)
Listening ina improve pronounciation (matamshi) na comprehension (uelewa)
Soma articles, vitabu na magazeti ya lugha unayoitaka
Angalia vipindi au debates za watu wakiongea hiyo lugha unayoitaka kwenye international radios na TV
Watangazaji wengi wa TZ hata majina na maneno ya Kiingereza hawajui kuyatamka matokeo yake ukiwasikiliza unaona wako sawa
Miaka ya nyuma tulisoma sana novels (za kina James Hadley Chase, Ludlum, wa kike walisoma Mills and Boon, Harold Robins), magazeti ya nje Ebony, New Africa, Africa Events, Newsweek, Economist na vitabu vingine kuongeza maarfia na kujua lugha
SIku hizi watu hawasomi kabisa
Unasafiri na mtu kwa train au ndege masaa 3-8 huoni mtu kashika kitabu wala gazeti ni simu kwenda mbele hata kama kuna ebooks ila wengi ni videos za you tube, tamthilia za kibongo,bongo fleva etc
Hujifunzi kitu kipya hapo unabaki kwenye cycle ile ile
You tube videos ni za vichekesho au ujinga mwingi matokeo watu hawajifunzi kitu kipya hasa lugha
CNN leo watu wanaifuatilia kwa sababu ya report ya Larry Madowo na bado mtu anakwambia nitafsirie wakati ni lugha basic kabisa na huyo jamaa ana accent at least ya ki Afrika inayoeleweka
Mwisho wa yote na muhimu zaidi zungumza hiyo lugha
Practice makes perfect