Nimekuwa na vijana wawili kwa wakati tofauti..........ila wote utulivu hamna, heri mtu mzima atanliwaza kuliko hwa vicheche
Sasa unataka kutuuzia mbuzi kwene gunia?Weka yako tuthaminishe kwanza kama sio zile pics za kuunguza hadi server.........
Endelea tu unachokitafuta umekaribia kukipata! Na usije kulalamika humu.
Tehe....vijana hawapendi vitu vizuri...Ungekuwa hivo watu wangeshafika bei. Hamna mwanaume duniani asiyependa vitu vizuri vyenye viwango!
Lol, umeshindwa kuthibitisha 'viwango', bottomline.Kwani umelazimishwa???
Kumbe shida yako uchumi mdogo? Si ungesema toka mwanzo? Hebu mPM Nazjaz akupe mbinu za kuishi mjini.(tongueoncheek)Hawana uwezo wa kuvihudumia........
Hahaha! Shosti acha kumkatisha mwenzio tamaa.kibabu cha miaka 40 inahusu...mie tu na uzee huu na watoto wawili juu kibabu cha miaka 40 sikitaki!!!
Kwani wewe unatafuta wa kukuhudumia au mwenye mapenzi ya kweli?Hawana uwezo wa kuvihudumia........
Giggling and chuckling..Vyote vinahusika kwa kweli, nisiwe mnafiki
niko na kila kitu ambacho mwanamke mzuri anakuwa nacho kwa muonekano.......... km shepu, n.k
.......Hivyo miaka 40-50 ni kibabu/mzee? Usikute hata wengi mnaochangia humu ndio age yenu hiyo!! Mdada wewe ukimpata mwanaume yeyote anakujali na kupenda just go ahead......age is just a number.​
Heheheee umejuaje? Mi niko kwenye upper 50's...
Tabia?
Haya bana.Vyote vinahusika kwa kweli, nisiwe mnafiki