Nimechoka kudanganywa na vijana natafuta jibaba

Nimechoka kudanganywa na vijana natafuta jibaba

Milage imeenda sana, kitu pekee kilichobaki ni marinda, kama yapo.
 
Hii ndio dunia ya sasa miaka ijayo vijana wetu watakuwa wanaenda kutafuta wake nchi zingine
 
Fast forward (FF), miaka kumi sasa. Kweli maneno huumba, ni mjomba(kibabu) ndio amepewa nafasi, at 37 mjomba could be in his 50s, dadeq! Unachoomba ndio unachopewa.

Nakadori nzo aha mdori wangu!
 
Nimekuwa na vijana wawili kwa wakati tofauti..........ila wote utulivu hamna, heri mtu mzima atanliwaza kuliko hwa vicheche
Njoo kwangu nikupe daraja Nina vigezo katiba 80%!
 
Back
Top Bottom