Nimechoka kudanganywa na vijana natafuta jibaba

Nimechoka kudanganywa na vijana natafuta jibaba

Mimi m ni mwanamke mwenye umri wa miaka 27 ninayejishughulisha na niko focused. Ninasikitika kusema kuwa toka niyajue mapenzi nimekuwa ni mtu wa kutendwa tu kwenye relationship na wapenzi ambao ni vijana. Nimeamua kutafuta baba mwenye umri kuanzia miaka 40-50 ambaye ni single (labda alifiwa na mke, au alipewa talaka). Awe tayari kupima HIV, dini awe mkristo, elimu ya chuo kikuu, asiwe mfupi ila mrefu wa wastani, asiwe na kitambi ila awe na mwili wa wastani, awe anayefanya mazoezi ya viungo mara kwa mara (sio lazima kila siku), awe anajishuhulisha na kazi au biashara, kwa umri huu awe ameshafanya baadhi ya investments za maisha. Atakaebahatika atapata mapenzi motomoto na ya ukweli.. Mwenye vigezo hivyo atakapopatikana dirisha la usajili litafungwa muda wowote.

Niko zaidi ya serious katika hili.

mi nahisi tatizo you are too emotional and easy to give full trust kwa umpendae( yani unakufaga na kuoza) may be unatoa mambo yetu yale mapema! sasa unatakiwa uwe makini sio mzima mzima! Na uyasemayo kuhusu vijana ni Hasira tu zitaisha! Kwani we binti mdogo bado
 
Kumbe matatizo yanaharibu uwezo wa mtu kufikiri.
OTIS
 
umesema najifanya nachambua, mie nimekujibu sijifanyi ila nachambua kweli. Kiswahili kigumu nini? Mimi sijakerwa kama unavyojaribu kufanya assumptions. Nimechambua thread yako kama ninavyochambua thread nyingine. Au kuchambua thread the way didn't want, ndio unafikiri umenikera? Unikere kwani nakujua? Ulitaka niipe thread yako upendeleo?

Umesema i should leave you alone. I can't leave you alone, simply b'se i have never been with you anyway. How can i leave you? Jf kuna thread nyingi lakini kila member anao uhuru wa kuchangia thread yoyote. Kama ulitaka thread yako isichangiwe na watu fulani, then badala ya kuazisha thread ungewa pm or you should have stated specifically in the thread that you don't like certain people (wachambuzi) to post on it (which of course is impossible).

Unaniambia niende kuleee. Ndio wapi huko? Kuhusu kutendwa ni kitu gani, wewe ndio umesema umetendwa na vijana na kwamba sasa unahitaji wababa kwa vile hawatakutenda(?). Ulikuwa na maana gani? Kuhusu kama wewe ndio wa kwanza kutendwa, kwani mimi nimesema wewe ndio wa kwanza au mwisho kutendwa?
= kabisa
 
Shost unaruka mkojo unakanyaga mavi.. Miaka kadhaa iliyopita kabla sijawa na family yangu nilipata mawazo kama yako baada ya kutendwa .
nikachukua uamuzi kama wako ambao kweli nilipata kibabu kama nilivyotaka 49 yrs old lla nilijutia uamuzi huo. Jamaa alikuwa na mihela sana tu amejijenga kama unavyotaka wewe..

Lakini alikuwa na gubu, anavyowaza yeye ndio na wewe ufate, ushauri hataki anaona yeye mkubwa, kila saa anawaza kuibiwa sababu yeye kumbe alikuwa mcharuko wa kisiri ingawa umri umeenda.

Kutoka out hataki, uongee na watu hataki, siku zote anakuchukulia wewe mtoto…. Kujing'amua kwenye uhuasiano huo ilinigharimu zaidi ya uhai ..sitasahau..

Mie hata sikushauri uingie huko....:A S-coffee:
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mimi m ni mwanamke mwenye umri wa miaka 27 ninayejishughulisha na niko focused. Ninasikitika kusema kuwa toka niyajue mapenzi nimekuwa ni mtu wa kutendwa tu kwenye relationship na wapenzi ambao ni vijana.

Nimeamua kutafuta baba mwenye umri kuanzia miaka 40-50 ambaye ni single (labda alifiwa na mke, au alipewa talaka).

Awe tayari kupima HIV, dini awe mkristo, elimu ya chuo kikuu, asiwe mfupi ila mrefu wa wastani, asiwe na kitambi ila awe na mwili wa wastani, awe anayefanya mazoezi ya viungo mara kwa mara (sio lazima kila siku), awe anajishuhulisha na kazi au biashara, kwa umri huu awe ameshafanya baadhi ya investments za maisha.

Atakaebahatika atapata mapenzi motomoto na ya ukweli.. Mwenye vigezo hivyo atakapopatikana dirisha la usajili litafungwa muda wowote.

Niko zaidi ya serious katika hili.
Duuh sio mchezo...kama ingelikuwa ni mimi nisingethubutu maana hizo donts zimekuwa nyingi kupita kiasi. By the way, mapenzi si yapo machoni mwa anayetazama? Au siku hizi mambo yamekuwa tofauti, maana hii staili ni kama bora liende...
Usikate tamaa na maisha. Jipange vizuri, utapata mtu anayemeet standard zako.
 
Mimi m ni mwanamke mwenye umri wa miaka 27 ninayejishughulisha na niko focused. Ninasikitika kusema kuwa toka niyajue mapenzi nimekuwa ni mtu wa kutendwa tu kwenye relationship na wapenzi ambao ni vijana. Nimeamua kutafuta baba mwenye umri kuanzia miaka 40-50 ambaye ni single (labda alifiwa na mke, au alipewa talaka). Awe tayari kupima HIV, dini awe mkristo, elimu ya chuo kikuu, asiwe mfupi ila mrefu wa wastani, asiwe na kitambi ila awe na mwili wa wastani, awe anayefanya mazoezi ya viungo mara kwa mara (sio lazima kila siku), awe anajishuhulisha na kazi au biashara, kwa umri huu awe ameshafanya baadhi ya investments za maisha. Atakaebahatika atapata mapenzi motomoto na ya ukweli.. Mwenye vigezo hivyo atakapopatikana dirisha la usajili litafungwa muda wowote.

Niko zaidi ya serious katika hili.

We binti, kama we ni binti kweli, maana humu jamvini kuna ku-dramatise mambo. Binti, Kizazi cha sasa lazima ukumbane na hayo mambo ya kudanganya!!! It is a pity that nasema hivyo!! Ndio hali halisi. Mbane mtu usilegee, lakini kukimbilia wazeee nisingelikushauri. Unakwenda kubaya, mbona na wazee ni wahuni!! We ni msichana lazima uanze na vijana wenzako. Futa mawazo ya kuolewa na mzee!!! Ikibidi jifanye umeokoka umbake mtu kama wanavyofanya walokole maji yakizidi unga.
 
hesabu ni somo gumu sana hapa...

Mimi m ni mwanamke mwenye umri wa miaka 27 ninayejishughulisha na niko focused. Ninasikitika kusema kuwa toka niyajue mapenzi nimekuwa ni mtu wa kutendwa tu kwenye relationship na wapenzi ambao ni vijana. Nimeamua kutafuta baba mwenye umri kuanzia miaka 40-50 ambaye ni single (labda alifiwa na mke, au alipewa talaka).

Awe tayari kupima HIV, dini awe mkristo, elimu ya chuo kikuu, asiwe mfupi ila mrefu wa wastani, asiwe na kitambi ila awe na mwili wa wastani, awe anayefanya mazoezi ya viungo mara kwa mara (sio lazima kila siku), awe anajishuhulisha na kazi au biashara, kwa umri huu awe ameshafanya baadhi ya investments za maisha.

Atakaebahatika atapata mapenzi motomoto na ya ukweli.. Mwenye vigezo hivyo atakapopatikana dirisha la usajili litafungwa muda wowote.

Niko zaidi ya serious katika hili.
316545_222373671169820_142304782510043_544336_1587553438_n.jpg

Hivyo vibabu vya age group hiyo ndivyo vinavyoongoza kwa cheating. Yaani wewe ukimpata umuombe Mungu tu hakuna formula yoyote hapo.

Afterall siku hizi 50 siyo mzee. Wazungu wanasema 'life begins at 50' . Maana pale jamaa ameshapeleka watoto shule na wao tayari wana kazi zao kwa hivyo yaliyobaki ni matanuzi tu.

He Godfrey Tajiri umenichekesha kweli kweli kuwaita above 50 'vimauti'. Sitaki hata kumwambia mume wangu maana yeye ni over 60 na bado ni moto wa kuotea mbali!

dah! si umeona hee, halafu kuna mmoja ndo kaamua kutuchana kabisa eti tuko kama panzi
tukipewa mzigo mara moja hooi pwaa, dah! wamesahau vibabu wengi ni "naturali" hatujui
maziwa ya kopo wala nini ,-)
 
pamoja na yote uliyopokea na kushauriwa, mimi nipo tayari na ili kukuhakikishia kuwa ninayo nia, nataka kwanza tufahamiane kabla ya kufanya lolote na kila mmoja akiridhika na mwenzake basi tunafanya makubaliano ok. email cmtemi70@ymail.com. please i promise you will not regret it.
 
toa mawasiliano sasa maana naona hapa hakuna njia ya kukupata moja kwa moja. napita tu
 
ingekuwa woote wenye umri wa 40 mpaka 50 wamejenga basi tanzania ingejaa majumba mpaka serengeti.punguza vigezo.la sivyo............................
 
Back
Top Bottom