Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nimeamini wewe ni much-know, tufanye umeshinda! umefurahi eeeh?
Kubali tu umeshindwa kujibu hoja kwa hoja manake Bw. EMT kazipanga na kuzipangua hoja zako kama matofali. Sijaona ujuaji wowote toka kwake. Pole.