Umesema najifanya nachambua, mie nimekujibu sijifanyi ila nachambua kweli. Kiswahili kigumu nini? Mimi sijakerwa kama unavyojaribu kufanya assumptions. Nimechambua thread yako kama ninavyochambua thread nyingine. Au kuchambua thread the way didn't want, ndio unafikiri umenikera? Unikere kwani nakujua? Ulitaka niipe thread yako upendeleo?
Umesema I should leave you alone. I can't leave you alone, simply b'se I have never been with you anyway. How can I leave you? JF kuna thread nyingi lakini kila member anao uhuru wa kuchangia thread yoyote. Kama ulitaka thread yako ichangiwe na watu fulani, then badala ya kuazisha thread ungewa PM or you should have stated specifically in the thread that you don't like certain people (wachambuzi) to post on it (which of course is impossible).
Unaniambia niende kuleee. Ndio wapi huko? Kuhusu kutendwa ni kitu gani, wewe ndio umesema umetendwa na vijana na kwamba sasa unahitaji wababa kwa vile hawatakutenda(?). Ulikuwa na maana gani? Kuhusu kama wewe ndio wa kwanza kutendwa, kwani mimi nimesema wewe ndio wa kwanza au mwisho kutendwa?