MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 14,311 Reaction score 36,056 Jul 6, 2021 #161 Milage imeenda sana, kitu pekee kilichobaki ni marinda, kama yapo.
Gulio Tanzania JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 3,325 Reaction score 7,807 Jul 6, 2021 #162 Hii ndio dunia ya sasa miaka ijayo vijana wetu watakuwa wanaenda kutafuta wake nchi zingine
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 48,052 Reaction score 104,677 Jul 7, 2021 #163 Fast forward (FF), miaka kumi sasa. Kweli maneno huumba, ni mjomba(kibabu) ndio amepewa nafasi, at 37 mjomba could be in his 50s, dadeq! Unachoomba ndio unachopewa. Nakadori nzo aha mdori wangu!
Fast forward (FF), miaka kumi sasa. Kweli maneno huumba, ni mjomba(kibabu) ndio amepewa nafasi, at 37 mjomba could be in his 50s, dadeq! Unachoomba ndio unachopewa. Nakadori nzo aha mdori wangu!
Taured JF-Expert Member Joined Dec 12, 2010 Posts 805 Reaction score 684 Jul 9, 2021 #164 Nakadori said: Nimekuwa na vijana wawili kwa wakati tofauti..........ila wote utulivu hamna, heri mtu mzima atanliwaza kuliko hwa vicheche Click to expand... Njoo kwangu nikupe daraja Nina vigezo katiba 80%!
Nakadori said: Nimekuwa na vijana wawili kwa wakati tofauti..........ila wote utulivu hamna, heri mtu mzima atanliwaza kuliko hwa vicheche Click to expand... Njoo kwangu nikupe daraja Nina vigezo katiba 80%!