Nimechoka kufuatwa pm na wanawake wa JamiiForums

Namimi nilikuwa najiandaa kuja huko PM sasa mbona unaanza kupiga kelele?
 
Tubandikie screen ya hizo charts tuthibithishe hii habari yako.
 
Iundwe tume ya uchunguzi juu ya tuhuma anazokabiliwa Beesmom ikibainika anataka kutuulia mstaafu wetu achukukiwe hatua...la sivyo ajitokeze kukanusha tuhuma tajwa hapo konani
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…