Nimechoka kufuatwa pm na wanawake wa JamiiForums

Nimechoka kufuatwa pm na wanawake wa JamiiForums

Ha ha haa,ashasema yeye ni chibabu
Hao ndio wenyewe sasa, yani unakua kama umepata baba....malezi kama yote, mwizukulu atakua busy kama customer care hata pm hajibu ngoja nilale labda kesho atapata muda wa kujibu
 
Hao ndio wenyewe sasa, yani unakua kama umepata baba....malezi kama yote, mwizukulu atakua busy kama customer care hata pm hajibu ngoja nilale labda kesho atapata muda wa kujibu
Ha ha ha,mi mwenyewe kuna MTU ananisumbua kichwa ndo nijiongezee kichomi kingine
 
Tunajisiliaje tupo nyumbani na geti limefungwa? Tunapigwa na baridi
Sasa bila kugonga kengere nitajuaje kua mpo getini,sukuma geti lipo wazi,zameni mpaka ndani,hao Mbwa wakibweka msiwajali wala hawaumi.
 
Back
Top Bottom