Nimechoka kufuatwa pm na wanawake wa JamiiForums

Nimechoka kufuatwa pm na wanawake wa JamiiForums

Ha haa kwenye suala hilo sina ujanja Mzee mwenzangu. Jamaa mpoleee...sijui namuanza vipi
Haha, nitume niwe kuwadi..acha nature ifanye kazi yake. Duniani tupo mda mfupi sana ujue...
 
Dahhhh....

I wish Ningekuwa wewe mkuuu....

Sijabahatika kutongoza Wala kufuatwa pm kwa muda mrefu kidogo.

Girls wa JF mnakwama wapi!!!
 
Back
Top Bottom