Nimechoka kufuatwa pm na wanawake wa JamiiForums

Nimechoka kufuatwa pm na wanawake wa JamiiForums

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF never Boring.
 
Pole mkuu, fanya kuifunga kwa muda kwanza 🤣😆
 
Hii tabia inakera sasa kwa siku nafuatwa na wanawake 6 mpaka 10 huku pm, wengi wao wanaomba mahusiano na mimi mwizukulu mgikuru a.k.a babu...nimechoka kutongozwa na akina beesmom.
Mababu huwa hawana tabia kama zako.Huu ni zaidi ya utoto.
 
Hii tabia inakera sasa kwa siku nafuatwa na wanawake 6 mpaka 10 huku pm, wengi wao wanaomba mahusiano na mimi mwizukulu mgikuru a.k.a babu...nimechoka kutongozwa na akina beesmom.
Nimekuachia kijiti cha misifa. Nakubandika mavyeo kuanzia leo ww ni kanali wa misifa
 
Hahahaaa. Naona umeamua kuanzisha uzi wa kuisimamisha Jf. Lol.

Kwa wingi gani wa Ke hapa jf mpaka wakufuate wote hao kwa siku moja?
 
Back
Top Bottom