To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Ni vema ungewachana tu hukohuko....maana pm si pekeyako mkuu...afu kuignore MTU mbona simple tuNioneeni huruma bhana....why me 😢
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vema ungewachana tu hukohuko....maana pm si pekeyako mkuu...afu kuignore MTU mbona simple tuNioneeni huruma bhana....why me 😢
Basi turuhusu tuitwe hata kwa jina lakoHapana kwakweli...inatosha sasa niacheni nipumue
Una maono sana mkuuWanataka wakuchezee wakuache..
Naomba wakae mbali na mimi pm yangu imejaa picha za wanawake ....hii imekuwa too muchMwaka unaelekea kuisha, malengo ya ndoa hayatimii, bei ya vitu ziko juu; inabidi wajilipue tu huko pm
Niwadandeje sasa!Wadande
Ha ha haa,unanitafuta wewe.... 😂Hii tabia inakera sasa kwa siku nafuatwa na wanawake 6 mpaka 10 huku pm, wengi wao wanaomba mahusiano na mimi mwizukulu mgikuru a.k.a babu...nimechoka kutongozwa na akina beesmom.
Mpatie hicho anachokitakaHa ha haa,unanitafuta wewe.... 😂
Watembezee bakoraNaomba wakae mbali na mimi pm yangu imejaa picha za wanawake ....hii imekuwa too much
Mnikomee....inatosha jamani, mimi ni wa kulala tongo macho eti kisa kujibu pm za wanawake wa jfHa ha haa,unanitafuta wewe.... 😂
Aseme hadharani nimpe kifichoni😂Mpatie hicho anachokitaka
Wewe hujamzamia PM 😁😁
Huwezi wewe....eti oooooh njoo mwanza tule samaki, kumbe ajenda ni hiyo.Nimemwona,anataka nimbake live😂
😂😂😂 Mkuu wewe ni noooma sana 🤣Noma sana!
We,wamekufanyaje kwani? Au nije pm unisimulie😂🙂Mnikomee....inatosha jamani, mimi ni wa kulala tongo macho eti kisa kujibu pm za wanawake wa jf
Badilisha avatar bas, mi sikuzote najuaga kibabu kumbe kijana,maana mpaka unafatwa utakuwa unajulikana kwa uhb😂😂Huwezi wewe....eti oooooh njoo mwanza tule samaki, kumbe ajenda ni hiyo.