Nimechoka kufuatwa pm na wanawake wa JamiiForums

Nimechoka kufuatwa pm na wanawake wa JamiiForums

Hii tabia inakera sasa kwa siku nafuatwa na wanawake 6 mpaka 10 huku pm, wengi wao wanaomba mahusiano na mimi mwizukulu mgikuru a.k.a babu...nimechoka kutongozwa na akina beesmom.
Depal Umemsikia huyu mwanakilindi?

Mnamsumbua PM anadai😀😀😀😀😀
 
Hongera Sana Mkuu ,wengine miaka 12 ndani ya JF lakini hatujawai kufuatwa PM na wanawake tupe mbinu mkuu.
 
walete tukusaidie huo ni ubinafsi,kizuri kula na wenzako.
 
Back
Top Bottom