Nimechoka kuhangaika ila akilini mwangu Nina mawazo makubwa!!!!

Usichoke wala kukata tamaa, aliyechoka yumo kaburini mradi Mungu kakupa uhai,nguvu na akili piga kazi. Jaribu kuzungusha mihogo yako kwa watu wanaofanya kazi madukani,saloon na sehemu nyingine kama hizo
 
nimevutiwa na hoja yako,naomba tbadilishane mawazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…