Freelancer
JF-Expert Member
- Sep 22, 2008
- 2,965
- 2,147
Huku kuzuriii uwe unapita Daily..Kwenye watu hapakosi kitu, mbarikiwe asee na wengine tunafaidi ushauri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku kuzuriii uwe unapita Daily..Kwenye watu hapakosi kitu, mbarikiwe asee na wengine tunafaidi ushauri
Napita pita sana japo muda mwingi napita kimya kimya, mmetupa kitu cha kujifunza hapaHuku kuzuriii uwe unapita Daily..
nimevutiwa na hoja yako,naomba tbadilishane mawazoNafikiria kuanzisha clinic au hospitali. Ila sina pesa , nafikiria kuanzisha vijicenters vidogo vya kupika na kuuza mihogo hii ya kukaanga na chachandu ili kuongeza kipato cha kila siku baadae kufanya biashara kubwa !!!!
Zitakazo nipa faida na kuanzisha hospitali
Sasa wanajamiii je kwa hiyo biasha ndogo nitaweza kupata faida itakayoongeza mtaji wakufanya biashara zingine!!!
Naona wanaopika maisha yao ni Yale yale sijui Mimi nitatoka kweli hii biashara ??????
Naombeni mnitie moyo na kunipa mawazo mengine ya kufanya nikuze mtaji na kufikia malengo yangu!!!!