MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Mwaka 2009 kuna shetani moja la kike liliniambia hata akivuta hisia za kunipenda haziji kabisa.... na ilikuwa mbele ya watu nje ya Njiro complex, Arusha. Leo hii kikongwe wa miaka 36 hana mwelekeo wowote. Ananishobokea lakini mimi niko bize na kibinti changu cha miaka 51.Umenikumbusha dada mmoja nilimsumbukia 2010 akanichomolea akaja kupewa mimba na njemba moja ikamchomolea kipindi kile najitafuta.. leo hii ni mshangazi ananishobokea amesahau alivyonitenda .. malipo ni hapa hapa duniani.