MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Mwaka 2009 kuna shetani moja la kike liliniambia hata akivuta hisia za kunipenda haziji kabisa.... na ilikuwa mbele ya watu nje ya Njiro complex, Arusha. Leo hii kikongwe wa miaka 36 hana mwelekeo wowote. Ananishobokea lakini mimi niko bize na kibinti changu cha miaka 51.Umenikumbusha dada mmoja nilimsumbukia 2010 akanichomolea akaja kupewa mimba na njemba moja ikamchomolea kipindi kile najitafuta.. leo hii ni mshangazi ananishobokea amesahau alivyonitenda .. malipo ni hapa hapa duniani.
We nawe kilaza kwelini muhimu zaid kuwasaidia hao mabinti ulowaskia wakinung"unika kwa kuchoka kuitwa mishangazi, ili kuepuka vijana wawatu wasitapeliwe na hiyo kitu ya kuitwa honeymoon ambayo si muhimu sana nyakati hizi.
mabinti wengi hudai hawana nafasi kukutana na vijana wenzao wa kiume kwa kujiweka classic, makeup zikianza kugoma kwasabb za umri umesonga ndiyo sasa wanaanza kutia huruma na kukimbulia mafuta ya alizeti yanayoitwa ya upako ili wapate wa kuwaoa π
hapana si mimi,We nawe kilaza kweli
Makeup mpaka mabibi wanapaka na zinakaa
Amenisumbua sana kuwa ananipenda nikamkatalia, alipozidi kunisumbua nikamwomba laki 1 niende hospitali, saivi hapatikani hewani, nifanyaje?
Sasa kwanini umsumbue binti wa watu na hela hautoi Mapenzi gani unataka kwa mwanamke akikuomba hela unakimbia simu? Kama unataka mapenzi ya Bure nenda kwa Yesu Alisikika mama mmoja hospital akiwa na mwanae wanasubiri kuingia chumba cha daktari.. Wanaume vipi tena mnakwama wapi?www.jamiiforums.com
Ndio ujue makeup haina uzeehapana si mimi,
wale mabinti wanaowapaka vibibi make-up ndiyo vilaza my lady.
mabibi na makeup wap na wap sasa na
huku miyama ilivyowashuka namna na kukunjamana mpaka unawaonea huruma dah!
Halafu kama ndiyo Bimkubwa wako sasa aibu unaona wewe dahπ€£
tuache kuwachochea na kuwapamba mabibi vitu ambavyo vimewatupa mkono tafadhali, kuna vitu vikikutupa mkono kwa sababu ya umri na kukomaa hata ufanyaje itajulikana tu, ukipaka saa3 asubuh, ikifika saa3 unaonekana kama ngedere π€£
cheki mwendo sasa dah,
hebu tusaidiane kuwafariji hao waliochoka kukaa upweke, tunapoteza nguvu kazi kwa stress π
Tutaamini vipi kama stori inakuhusuMwaka 2009 kuna shetani moja la kike liliniambia hata akivuta hisia za kunipenda haziji kabisa.... na ilikuwa mbele ya watu nje ya Njiro complex, Arusha. Leo hii kikongwe wa miaka 36 hana mwelekeo wowote. Ananishobokea lakini mimi niko bize na kibinti changu cha miaka 51.
makeup si ndiyo ilimdhoofisha muungwana kwenye uzi wako wa honeymoon? π€£Ndio ujue makeup haina uzee
Amemtambulisha Mchumba wake akiwa ameweka Bleach Kichwani, wakwe wamemkataa, afanyaje?
Samahani Nimekuwa buzy naona kama napitwa Kwani wanawake wenye bleach kichwani wana shida gan? Mbona kila mahali wanakataliwa? Nini mbaya nyiee? Angalieni Tabia na Roho ya Mtu rangi ni upendo acheni ushamba jamaawww.jamiiforums.com
Aende China arudishe bikra,hatuoi watumishi wa BaltazarEh,
Nyie watoto acheni kumsumbua Mungu jamaan
Leo nimekaa kwenye lounge ya ofisi moja mjini, naskia wadada wawili wanaongea kwa kutiana moyo
Maongezi ya mmoja yalikuwa hivi,
"Nimechoka kuitwa Mshangazi, Mungu nipe mume please π "
Nilitaka kumjibu lakini user yangu ikawa imefika
Wewe ungekuwa Mungu, ungemsaidiaje Mshangazi aliechoka kuitwa Mshangazi?
Honeymoon sijaongelea makeupmakeup si ndiyo ilimdhoofisha muungwana kwenye uzi wako wa honeymoon? π€£
kumbe alikua bibi?
Aende China arudishe bikra,hatuoi watumishi wa Baltazar
Ningemuuliza kwanza alikua wapi siku zote mpaka kufikia umri wa kuitwa mshangazi??Eh,
Nyie watoto acheni kumsumbua Mungu jamaan
Leo nimekaa kwenye lounge ya ofisi moja mjini, naskia wadada wawili wanaongea kwa kutiana moyo
Maongezi ya mmoja yalikuwa hivi,
"Nimechoka kuitwa Mshangazi, Mungu nipe mume please π "
Nilitaka kumjibu lakini user yangu ikawa imefika
Wewe ungekuwa Mungu, ungemsaidiaje Mshangazi aliechoka kuitwa Mshangazi?
tako lipo sio unajaza server tu.Eh,
Nyie watoto acheni kumsumbua Mungu jamaan
Leo nimekaa kwenye lounge ya ofisi moja mjini, naskia wadada wawili wanaongea kwa kutiana moyo
Maongezi ya mmoja yalikuwa hivi,
"Nimechoka kuitwa Mshangazi, Mungu nipe mume please π "
Nilitaka kumjibu lakini user yangu ikawa imefika
Wewe ungekuwa Mungu, ungemsaidiaje Mshangazi aliechoka kuitwa Mshangazi?
Umejuaje upweke sio shida?? Au huyo mdada unamjua vizuri yaani ni wewe??Upweke sio shida
Shida kuitwa MSHANGAZI
WOI
vigodoro navyo dah,Honeymoon sijaongelea makeup
Kasome upya
Amenisumbua sana kuwa ananipenda nikamkatalia, alipozidi kunisumbua nikamwomba laki 1 niende hospitali, saivi hapatikani hewani, nifanyaje?
Sasa kwanini umsumbue binti wa watu na hela hautoi Mapenzi gani unataka kwa mwanamke akikuomba hela unakimbia simu? Kama unataka mapenzi ya Bure nenda kwa Yesu Alisikika mama mmoja hospital akiwa na mwanae wanasubiri kuingia chumba cha daktari.. Wanaume vipi tena mnakwama wapi?www.jamiiforums.com
Ningemuuliza kwanza alikua wapi siku zote mpaka kufikia umri wa kuitwa mshangazi??
Analo kubwa tutako lipo sio unajaza server tu.
Tangu 2016 naandika habari za watu leo iwe mimi, inakuingia akilini kweli we wazimu?Umejuaje upweke sio shida?? Au huyo mdada unamjua vizuri yaani ni wewe??
Anyway, ukiitwa mshangazi umri unaenda na wanaume hawasomeki sababu hawakuelewi elewi jifanye umeokoka..
Utaratibu ni: Ukiachws, okoka.
Ukikosa mwanaume okoka, ndio kimbilio la wsdada wengi.
vigodoro navyo dah,
vinawakatisha sana tamaa vijana wakiona uhalisia wakiwa ndani ya ndoa dah π
My lady Money Penny nakupenda sana, nakuheshimu zaidi.Amemtambulisha Mchumba wake akiwa ameweka Bleach Kichwani, wakwe wamemkataa, afanyaje?
Samahani Nimekuwa buzy naona kama napitwa Kwani wanawake wenye bleach kichwani wana shida gan? Mbona kila mahali wanakataliwa? Nini mbaya nyiee? Angalieni Tabia na Roho ya Mtu rangi ni upendo acheni ushamba jamaawww.jamiiforums.com
AminaMy lady Money Penny nakupenda sana, nakuheshimu zaidi.
niko bize mno, nina hakika uko bize sana pia.
ninawiwa kukutana nawe japo sio muhimu kwa sababu za kiusalama na kazi.
Yafaa basi,
kuwasaidia na kuwahurumia wanao teseka kupata wachumba wa uhakika.
Mungu akubariki sana Lady π