Nimechoka kula vyakula vilevile kila siku

Tatizo ni mfumo wa maisha, we don't give food a priority, unaona wazungu when they dime, wanpika na kula kisawasawa. Hawana stress za maisha. Sisi hata idea mpya ya chakula inatupa stress kuandaa
 
Wajuaji wa JF bhana
 
Mimi nimechoka kula vyakula vilevile mfululizo. Nahitaji recommendation ya vyakula vipya, sio notes za self actualization
 
Kweli, mimi hata kwa vyakula hivyohivyo, style nyingi za upishi itakuwa sizijui vizuri
Watanzania wengi wa kawaida tumekariri mapishi ya msingi, mtu akijiongeza sana ni nazi. Pia food presentation ni tatizo, jinsi chakula kinavyowasilishwa na kupangiliwa kwenye sahani mezani inaleta utofauti mkubwa sana kwenye appetite. Hata hivyo masikini wengi wanakula washibe tu, hawahitaji mambo mengi.
 
Hapo kwenye Watanzania wengi kujua mapishi ya msingi tu, ni sahihi. Mwenyewe huwa najua tu yale mapishi basic
Nadhani ndio maana nimechoka kula vyakula vilevile kwa sababu kila siku napika style zilezile
 
Hapo kwenye Watanzania wengi kujua mapishi ya msingi tu, ni sahihi. Mwenyewe huwa najua tu yale mapishi basic
Nadhani ndio maana nimechoka kula vyakula vilevile kwa sababu kila siku napika style zilezile
Kama una pesa ingia hotel moja ya maana waambie wakutengenezee Honey Soy Pork Ribs na viazi vya kukaanga.
 
Mapishi ni Sanaa sio Sayansi,
Chakula ni matokeo ya Sanaa kama ilivyo Mziki, Hadithi n.k.

Epuka kutumia formula za Watu, yafanye kama Sanaa na kuwa mbunifu.

Pia Fanya Fasting/Rebooting mara kwa mara kama alivyosema mdau mmoja hapo juu.

Binafsi Nakula vitu Simple & Peculiar mfano Ndizi bukoba za kuchemsha&kuponda + karanga za kusaga (Peanut butter) + Maziwa mgando, hii sijawahi kuchoka/kinai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…