Nimechoka kulalia godoro chini

nakupa Kitanda kwa bei io cha mbao (elf 35)
 
Tamaduni ya Korea na wachina ni kulala chini ht iwe hotelini, kwann wew ujiite maskini mkuu,

Acha kujidharau
 
Pana nyumba unaweza kuwa na godoro chini bila kitanda kwa ajili ya kunyoosha mgongo na unalala vizuri sana ila kwa kuwa hauna kitanda unadhani kuwa na kitanda ni kitu cha muhimu sana kumbe hamna kitu...
 
Hali inaweza kuwa ngum,sawa Ila inabidi uangalie vipao mbele vyako km utaona kipaombele chako kwa Sasa ni kitanda sawa,Ila usije ukaa miezi mitatu ukasema mke wangu hai enjoy inabidi ninunue tv😆,mwisho wa siku vipaombele vyako vitakuwa vya kipimbi Sana,siku zote muweke chini wife msomeshe Hali halisi na vipao mbele vyako,kwani mtapanga milele? Tafuteni kiwanja hata vikindu huko km hamna kulala chini sio dhambi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…