Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Na inashauriwa kufanya hivyo angalau mwezi mmoja ndani ya MwakaNimechoka kulala juu na tamani nilale chini hata mwezi mmoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na inashauriwa kufanya hivyo angalau mwezi mmoja ndani ya MwakaNimechoka kulala juu na tamani nilale chini hata mwezi mmoja
Sawa kabisa.Mkuu! Niliishawahi kupitia msoto kama huu miaka kitambo! Maisha yalisimama kabisa nikawa sisogei! Kana kwamba kuna mtu alipiga mstari nisivuke hapa! Kana kwamba kuna roho fulani siioni inayozuia nisipige hatua! Nikipata hela majanga yanaibuka na kunirudisha palepale (square one)!
Nikausoma mchezo kwa kutumia uzoefu, nikakomaa na kuwa ng'ang'ari mpaka nikatoboa! Ndo siri ya hii nickname "no retreat no surrender". Kwahiyo mkuu komaa jitathmini wapi unakwama! Wakati mwingine kuwa mbishi na usiendekeze huruma kwa mambo yasiyo na manufaa ya kukupotezea muda na hela!
Mkuu, nina shida ya kujifunza kuendesha lorry,,, naomba niunganishe nae anifundishe hata kwa malipo.nina ndugu yangu ana lorry
😁😁😁😁😁😂😂😂Wewe ni mwana JF wa kwanza kulala chini, wote humu tunalala ghorofani.
Kazi isio kupa kipato achana nayoMaisha haya yasikie tu kwa mwenzio
Muda mwingine tunajitahidi kupanga malengo na kuyapambanua yatimie tukipiga hatua 3 mbele tunavutwa na kurudishwa hatua 6 nyuma na matatizo yasiyo epukia
Nimeshalala sana chini na wife mwaka unaenda kukata Sasa bila ya kitanda
Naweka Nia mpaka mwezi huu unaisha nitalala juu ya kitanda hapa nina 35 elfu ngoja nianze kununua mbao niwe naweka mpaka zikienea napeleka kwa fundi sofa.
Hi kazi yangu kwa mwezi inaniingizia angalau si chini ya laki 2 ukitoa 80 ya Kodi ya ofisi na nyumbani,
Shida matatizo yananisonga japo kiafya tunamshukuru Mungu tuko poa
Tunatamani kufanya hivyo lakini kuipata sasa hiyo yrnye kipato bdio mziki ulipoKazi isio kupa kipato achana nayo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] afadhali siku yangu imeanza vizuribora wewe unalala chini, wengine tunalala tumesimama na ukuta ndio maana mda mwingi tupo humu kuchat usiku usogee hasa ukuta ukishakuwa wa baridi.
Cheka mama maisha ni haya haya tupo nyuma ya keyboard[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] afadhali siku yangu imeanza vizuri
umtafte jamaa inbox mbadilishaneWkt mm nimechoka kulala kwenye kitanda nataka nikifungue ni lale chini
VizuriMkuu! Niliishawahi kupitia msoto kama huu miaka kitambo! Maisha yalisimama kabisa nikawa sisogei! Kana kwamba kuna mtu alipiga mstari nisivuke hapa! Kana kwamba kuna roho fulani siioni inayozuia nisipige hatua! Nikipata hela majanga yanaibuka na kunirudisha palepale (square one)!
Nikausoma mchezo kwa kutumia uzoefu, nikakomaa na kuwa ng'ang'ari mpaka nikatoboa! Ndo siri ya hii nickname "no retreat no surrender". Kwahiyo mkuu komaa jitathmini wapi unakwama! Wakati mwingine kuwa mbishi na usiendekeze huruma kwa mambo yasiyo na manufaa ya kukupotezea muda na hela!
Tuanzie hapo kwanza 🤒Asa ukaoa faster ili iweje!??
Kwakweli, pia maisha ni mafupi mnoo acha tufurahi tuCheka mama maisha ni haya haya tupo nyuma ya keyboard