Nimechoka kulalia godoro chini

Nimechoka kulalia godoro chini

Mkuu! Niliishawahi kupitia msoto kama huu miaka kitambo! Maisha yalisimama kabisa nikawa sisogei! Kana kwamba kuna mtu alipiga mstari nisivuke hapa! Kana kwamba kuna roho fulani siioni inayozuia nisipige hatua! Nikipata hela majanga yanaibuka na kunirudisha palepale (square one)!

Nikausoma mchezo kwa kutumia uzoefu, nikakomaa na kuwa ng'ang'ari mpaka nikatoboa! Ndo siri ya hii nickname "no retreat no surrender". Kwahiyo mkuu komaa jitathmini wapi unakwama! Wakati mwingine kuwa mbishi na usiendekeze huruma kwa mambo yasiyo na manufaa ya kukupotezea muda na hela!
Sawa kabisa.
 
Maisha haya yasikie tu kwa mwenzio

Muda mwingine tunajitahidi kupanga malengo na kuyapambanua yatimie tukipiga hatua 3 mbele tunavutwa na kurudishwa hatua 6 nyuma na matatizo yasiyo epukia

Nimeshalala sana chini na wife mwaka unaenda kukata Sasa bila ya kitanda

Naweka Nia mpaka mwezi huu unaisha nitalala juu ya kitanda hapa nina 35 elfu ngoja nianze kununua mbao niwe naweka mpaka zikienea napeleka kwa fundi sofa.

Hi kazi yangu kwa mwezi inaniingizia angalau si chini ya laki 2 ukitoa 80 ya Kodi ya ofisi na nyumbani,

Shida matatizo yananisonga japo kiafya tunamshukuru Mungu tuko poa
Kazi isio kupa kipato achana nayo
 
Mkuu! Niliishawahi kupitia msoto kama huu miaka kitambo! Maisha yalisimama kabisa nikawa sisogei! Kana kwamba kuna mtu alipiga mstari nisivuke hapa! Kana kwamba kuna roho fulani siioni inayozuia nisipige hatua! Nikipata hela majanga yanaibuka na kunirudisha palepale (square one)!

Nikausoma mchezo kwa kutumia uzoefu, nikakomaa na kuwa ng'ang'ari mpaka nikatoboa! Ndo siri ya hii nickname "no retreat no surrender". Kwahiyo mkuu komaa jitathmini wapi unakwama! Wakati mwingine kuwa mbishi na usiendekeze huruma kwa mambo yasiyo na manufaa ya kukupotezea muda na hela!
Vizuri
 
Back
Top Bottom