Nimechoka kulalia godoro chini

Nimechoka kulalia godoro chini

Maisha haya yasikie tu kwa mwenzio

Muda mwingine tunajitahidi kupanga malengo na kuyapambanua yatimie tukipiga hatua 3 mbele tunavutwa na kurudishwa hatua 6 nyuma na matatizo yasiyo epukia

Nimeshalala sana chini na wife mwaka unaenda kukata Sasa bila ya kitanda

Naweka Nia mpaka mwezi huu unaisha nitalala juu ya kitanda hapa nina 35 elfu ngoja nianze kununua mbao niwe naweka mpaka zikienea napeleka kwa fundi sofa.

Hii kazi yangu kwa mwezi inaniingizia angalau si chini ya laki 2 ukitoa 80 ya Kodi ya ofisi na nyumbani,

Shida matatizo yananisonga japo kiafya tunamshukuru Mungu tuko poa
Sasa matatizo yako ya kukosa kitanda unatuambia sisi ili iweje?
 
Maisha haya yasikie tu kwa mwenzio

Muda mwingine tunajitahidi kupanga malengo na kuyapambanua yatimie tukipiga hatua 3 mbele tunavutwa na kurudishwa hatua 6 nyuma na matatizo yasiyo epukia

Nimeshalala sana chini na wife mwaka unaenda kukata Sasa bila ya kitanda

Naweka Nia mpaka mwezi huu unaisha nitalala juu ya kitanda hapa nina 35 elfu ngoja nianze kununua mbao niwe naweka mpaka zikienea napeleka kwa fundi sofa.

Hii kazi yangu kwa mwezi inaniingizia angalau si chini ya laki 2 ukitoa 80 ya Kodi ya ofisi na nyumbani,

Shida matatizo yananisonga japo kiafya tunamshukuru Mungu tuko poa
Hivi mtu una dhiki hivyo mnakimbiliaga kuoa yanini? Usikute hapo una watoto wawili!! Mindset ya mwafrika ni kama mnyama tu!
 
Nina mwezi wa pili sasa ninalala chini na kitanda nimeweka store..!! Ninachofurahia siku nikifunga Tena Ile week ya kwanza kama ndo mala yangu ya kwanza kulalia kitanda unajifeel good hakika
 
Sasa mtu ambaye hakupi changamoto ya maisha ni wanini; kuishi na mwanamke si kwa ajili ya tendo tu, kuna mambo mengine yakimaisha kama haya.
Si ndio jamaa kasema kipato chake ni kidogo huku shida na matatizo vikimuandama.

Sasa hapo huyo Mke atampa jamaa changamoto gani Mkuu sababu sana sana akizidi si ajabu akamshawishi jamaa kuingia kwenye kazi za haramu.
 
Amwambie hata hiyo elfu 35, wakaange mihogo wauze ili kuongeza kipato
 
Mi naweka godoro chini,mwaka wa sita sasa, na nimezoea, sio kwamba sina mkwanja! Maana ndani Nina Hisence nchi 55! Vitu vya jikoni vya kama milioni saba hv!
Ni mtazamo tu bro!
 
Back
Top Bottom