Mandakakawa
Senior Member
- Mar 29, 2017
- 113
- 56
Haya maisha ya kukaa hostel yamenishinda kwa kweli ,haiwezekani haipiti siku tatu bila kupigwa exile
Kila siku mimi nimekuwa mtu wa kulala nje na kuliwa na mbu tu nimechoka kwa kweli enough is enough
Sijui lini na mimi nitamfanyia exile aaaargh nimechukia sana
Elezea vizuri ueleweke hili sio jukwaa la wanafunzi wanaosoma hicho chuo unachosoma ww
Pole ndio maisha ya hapo yako hivyo