fablo can
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,223
- 1,267
Daaaa......!!! Umenikumbusha mbali sana chuo fulani Dodoma. Nilikuwa napigwa exile balaa. Adi ikabidi nipange chumba mitaaniHaya maisha ya kukaa hostel yamenishinda kwa kweli ,haiwezekani haipiti siku tatu bila kupigwa exile
Kila siku mimi nimekuwa mtu wa kulala nje na kuliwa na mbu tu nimechoka kwa kweli enough is enough
Sijui lini na mimi nitamfanyia exile aaaargh nimechukia sana