Nimechoka kupokea wageni

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hellow Africa

Dah ninaishi na wife huu mwaka wa nne sasa ila kero kubwa wageni hawakauki hapa nyumbani ndugu zake wanaingia na kutoka kiasi kwamba mtu huwezi kuweka akiba yako.

Juzi kaja mgonjwa wa vidonda vya tumbo Jumapili huwa tuna kawaida ya kupika pilau yeye tukampikia ndizi lakini wapi eti kaenda kugombania ukoko wa pilau na mwanangu wa mwisho mpaka kaja kuniambia chumbani.
 
Mpe onyo kali mkeo, muambie wazi kuwa hii sio guest house
 
eti kaenda kugombania ukoko wa pilau na mwanangu wa mwisho mpaka kaja kuniambia chumban[emoji23]
 
ndugu zake wanaingia na kutoka kiasi kwamba mtu uwez kuweka akiba yako
Ishi kutokana na Bajeti na Utaratibu uliojiwekea.

Ndio maana wazee wetu walikuwa na Miradi kama Mashamba, Mifugo, Bustani nk. Ilikuwa ndugu wakifika kwake basi baada ya siku mbili tu, anawageuza wafanyakazi wa miradi yake. Na kutokana na Uvivu wengi waliondoka mapema sana na taarifa wakapeana.

Be a Man, Stay Taliban.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…