Nimechoka kupokea wageni

Nimechoka kupokea wageni

Hellow africa

Dah ninaish na wife uhuu mwaka wa nne sasa ila kero kubwa wageni hawakauk hapa nyumbani ndugu zake wanaingia na kutoka kiasi kwamba mtu uwez kuweka akiba yako juzi kaja mgonjwa wa vidonda vya tumbo juma pili huwa tunakawaida ya kupika pilau yeye tukampikia ndizi lakini wapi eti kaenda kugombania ukoko wa pilau na mwanangu wa mwisho mpaka kaja kuniambia chumban
🤣🤣🤣Pole ni umaskin tu,penye rizki hapakosi wageni daily labda uwe mchoyo🤣🤣wameona kwako Kuna kaunafuu wa maisha ,pangekuwa pakavu usingewaona.
 
Hakikisha hapo kwako kuna kazi za kutosha kama kuosha mabanda ya mifugo,kukata nyasi za mifugo,tafuta mashamba huko nje ya mji uwe unawapeleka kulima na kupanda

Okoka na muwe mnasali karibia masaa mawili kabla ya kwenda kulala iwe kila siku na lazima kila mtu awepo wakati wa kusali hata kama ni mgonjwa,tv weka chumban kwako,sebuleni liwepo sabufa la kupiga nyimbo za injili tu

Ukishindwa kabisa hayo yote,anza kuwala ndugu za mkeo kwa siri,ili ufaidi chakula chako

Fanya yote hayo afu unipe mrejesho
 
Anayenufaika na ndoa huwa ni mwanamke , ndugu zake wataendelea kujazana hapo , ila ndugu yako ww akija hapo akae wiki tuu au mwez , akirudi atasimulia , wanawake karbia wote wana roho mbaya mno kwa ndugu za mme, hyo ni character tu wanayo, kilichopo we kaz yako lea familia yyte anayejitokeza kwako analelewa .. hamna namna
 
Hakikisha hapo kwako kuna kazi za kutosha kama kuosha mabanda ya mifugo,kukata nyasi za mifugo,tafuta mashamba huko nje ya mji uwe unawapeleka kulima na kupanda

Okoka na muwe mnasali karibia masaa mawili kabla ya kwenda kulala,tv weka chumban kwako,sebuleni liwepo sabufa la kupiga nyimbo za injili tu

Ukishindwa kabisa hayo yote,anza kuwala ndugu za mkeo kwa siri,ili ufaidi chakula chako

Fanya yote hayo afu unipe mrejesho
Kama umeokoka hayo yote huwezi fanya
 
Inaonyesha huna sauti ya mamlaka nyumbani kwako.
Kabla ya mgeni kuja inabidi mkeo akutaarifu, akishakutaarifu kuna majibu 2, yes or no, na ikiwa no hakuna mjadala, kununa na kususa ni nature yao na wala haikupunguzii kitu
 
Hellow africa

Dah ninaish na wife uhuu mwaka wa nne sasa ila kero kubwa wageni hawakauk hapa nyumbani ndugu zake wanaingia na kutoka kiasi kwamba mtu uwez kuweka akiba yako juzi kaja mgonjwa wa vidonda vya tumbo juma pili huwa tunakawaida ya kupika pilau yeye tukampikia ndizi lakini wapi eti kaenda kugombania ukoko wa pilau na mwanangu wa mwisho mpaka kaja kuniambia chumban
Wageni ni baraka ila kuna mtu mmoja mwenye hekima aliwahi kusema

"Afrika umaskini hautoisha kwa sababu maskini wanaoa maskini wenzao "
 
Back
Top Bottom