Nimechoka kupokea wageni

Nataka kujenga servant quarter kwaajili ya wageni vyumba viwili wa kike na kiume mbona itakuwa ndio lodge sasa.
Watahamia kabisa
 
Muambie mkeo hutaki wageni, sisi hatuwezi kukusaidia hapa.
 
Kuna mmoja alienda Kwa ndugu yake kusalimia jamaa akakuta jamaa kaandaa kuku na mamisosi kibao kwaajili yake . Ndugu Wacha ale kivumbi ni alipo fika kijijini [emoji1787][emoji1787] akaanza kuwahadithia watu kwamba jamaa huku mjini anachezea na vyakula na asipokuwa makini hatajenga
 
Kutembelea ndugu ni jambo jema sana

Ila watu wavivu wanapenda sana kutembea tembea.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…