Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Tokea 2006 mpaka sasa ni miaka 17, toa na miaka minne ya ndoa unapata 13. Kijana aliwahi sana kuoa π π π πKwanza atuambie huyo mke kaoa lini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tokea 2006 mpaka sasa ni miaka 17, toa na miaka minne ya ndoa unapata 13. Kijana aliwahi sana kuoa π π π πKwanza atuambie huyo mke kaoa lini
Fanya vituko wakija nenda kalewe ukirud watukane wafanyie machukizo na makasiriko ππππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£Hellow Africa
Dah ninaishi na wife huu mwaka wa nne sasa ila kero kubwa wageni hawakauki hapa nyumbani ndugu zake wanaingia na kutoka kiasi kwamba mtu huwezi kuweka akiba yako.
Juzi kaja mgonjwa wa vidonda vya tumbo Jumapili huwa tuna kawaida ya kupika pilau yeye tukampikia ndizi lakini wapi eti kaenda kugombania ukoko wa pilau na mwanangu wa mwisho mpaka kaja kuniambia chumbani.
Ahahahha mwaka juzi kati ππKwanza atuambie huyo mke kaoa lini
Ahahahha si unajua kijijini babuTokea 2006 mpaka sasa ni miaka 17, toa na miaka minne ya ndoa unapata 13. Kijana aliwahi sana kuoa π π π π
Ahahah kama yapiKuna makabila ukioa au kuolewa nayo utajuuutaaaa
Tabia ya ndugu wa kibongo kuja kujazana nyumbani kwa ndugu yao huwa siipendi kwakweli.. kila mtu akae kwake tujifunze kujitegemea.. umaskini ni endless cycleHellow Africa
Dah ninaishi na wife huu mwaka wa nne sasa ila kero kubwa wageni hawakauki hapa nyumbani ndugu zake wanaingia na kutoka kiasi kwamba mtu huwezi kuweka akiba yako.
Juzi kaja mgonjwa wa vidonda vya tumbo Jumapili huwa tuna kawaida ya kupika pilau yeye tukampikia ndizi lakini wapi eti kaenda kugombania ukoko wa pilau na mwanangu wa mwisho mpaka kaja kuniambia chumbani.
Na serikali ipo busy kupinga ndoa za utotoni.Tokea 2006 mpaka sasa ni miaka 17, toa na miaka minne ya ndoa unapata 13. Kijana aliwahi sana kuoa π π π π
[emoji1787]wee jamaa mkatili snNunua gunia la mahindi na maharage weka ndani,
Nunua magogo magumu weka hapo nje na shoka kali
Wakija wapasue kuni halafu ni ugali maharage kila siku, wataondoka wenyewe
Tusifikie uko nalelewa tuNa serikali ipo busy kupinga ndoa za utotoni.
Napendekeza dogo akamatwe ahojiwe ππ
πππmimi siwez iv unajua wageni wa mke wewe kukicha anakuja mgeniMtoa mada wee ni mchoyo[emoji16]
Dogo ameoa kipindi hata kudinda inawezekana ilikua bado[emoji23]Na serikali ipo busy kupinga ndoa za utotoni.
Napendekeza dogo akamatwe ahojiwe [emoji23][emoji23]
Tunafurahish gengeBro sikujua una mke. Hongera[emoji23]
Acha kumfundisha roho mbaya.Mpe onyo kali mkeo, muambie wazi kuwa hii sio guest house
Dahh, watu wa Jf kibokoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakikisha hapo kwako kuna kazi za kutosha kama kuosha mabanda ya mifugo,kukata nyasi za mifugo,tafuta mashamba huko nje ya mji uwe unawapeleka kulima na kupanda
Okoka na muwe mnasali karibia masaa mawili kabla ya kwenda kulala iwe kila siku na lazima kila mtu awepo wakati wa kusali hata kama ni mgonjwa,tv weka chumban kwako,sebuleni liwepo sabufa la kupiga nyimbo za injili tu
Ukishindwa kabisa hayo yote,anza kuwala ndugu za mkeo kwa siri,ili ufaidi chakula chako
Fanya yote hayo afu unipe mrejesho
GogoAhahah kama yapi