Nimechoka kupokea wageni

Fanya vituko wakija nenda kalewe ukirud watukane wafanyie machukizo na makasiriko πŸ˜€πŸ˜ŠπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£

Loanisha magodoro....ikiwezekana leta kunguni hapo home kwako... 🏠
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
Hakikishia budget ya misosi inakua ndogo....na mlo uwe wa tochi.....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£

TUMIA ZILE MBINU ZA AKUFUKIZAE HAKWAMBII TOKA....

#ASAP
Rudi uje utupe mrejesho πŸ™‚πŸ˜Š
 
Tokea 2006 mpaka sasa ni miaka 17, toa na miaka minne ya ndoa unapata 13. Kijana aliwahi sana kuoa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Ahahahha si unajua kijijini babu
 
Tabia ya ndugu wa kibongo kuja kujazana nyumbani kwa ndugu yao huwa siipendi kwakweli.. kila mtu akae kwake tujifunze kujitegemea.. umaskini ni endless cycle
 
Kukiwa na kamserereko lazima waje tu.

Nakumbuka babu yangu ilikua mgeni ni siku moja tu hasa wale rika yetu enzi hizo.

Baada ya hapo kazi hazikauki, kwa sisi wa palepale tulishazoea hizo kazi ila wageni ni full lawama. Ni kazikaz.

Akiondoka hapo, kurudi ni majaliwa ni simu tu
 
Dahh, watu wa Jf kibokoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…