Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
kuna mambo yanafirahisha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuu. Ww nenda kadeal na rika lako. Mashangazi tuachie sisi 😅😅
Sawa mkuu 😂 ngoja dunia itamsanuaTumuache tu 😅😅
Kuna wengine watakunafkia hapa kujifanya wema sana ila kiukhalisia kwenye familia zao hata mgeni hakanyagi..!!
Ishi kulingana na budget iliyo ndani ya uwezo wako usitumie nguvu kubwa sana kuwafurahisha watu huku unateseka (mshumaa),
Habari mbaya ni kuwa at the end of the day baada ya kuwa hu-save wala kufanya maendeleo yoyote wewe ndiye utaonekana looser, hakuna mtu atakumbuka kile uli sacrifice kwa ajili yao..!! Shauri yako..!!
Mac Alpho
nishtueni wazee 😂Tumuache tu 😅😅
Rika langu na mashangazi ni kama moyo na damuPole sana mkuu. Ww nenda kadeal na rika lako. Mashangazi tuachie sisi 😅😅
Mkuu hili kama halijakufika au kumfika mtu wa karibu unaposema watu hawatakuelewa na kauli zao zitakuwa acha roho mbaya ,ila hawajui wema ukizidi sana ni hatari maana unaweza jitoa kwa watu matokeo yake hao hao uliojitoa kwao wasione na unapoyumba wakawa wakwanza kukuchekaNaunga Mkono hoja. Hawa Ndugu wanajifanya wanakufahamu wakati wa amani. Ukipitia changamoto za kiuchumi kidogo, hutawaona Tena . Na watakuwa wa kwanza kusema ulikuwa huweki akiba
🤣🤣🤣
TUlia utafikiwa zamu yako 😂nishtueni wazee 😂
Jamani jamaniWapo moto sana, imagine kuna new ID ilikuwa inamtongoza faiza foxy, tena imemuanzishia nyuzi kibao 😅😅😅
Basi shuka chini, nenda kwa watoto wa chuo 😅😅Rika langu na mashangazi ni kama moyo na damu
Kwahyo siku zile pale selfika mkanichezea cheusi chekundu?🤣🤣🤣
Pole sana kijana, me ni mshangazi mwenye ushangazi wake mzuri tu
Imagine 😅😅😅.Jamani jamani
Huo ujasiri alipata wapi huyo dogo🤣🤣
Natoa huduma kote kote 😅Basi shuka chini, nenda kwa watoto wa chuo 😅😅
Utashtuliwa na konzi. Just wait 😅😅😅nishtueni wazee 😂
Mguu wa kazee ulee [emoji23]Ndivyo unavyouona? Mbona bado unavutia sana [emoji39]