Nimechoka kupokea wageni

Nimechoka kupokea wageni

 
Kuna wengine watakunafkia hapa kujifanya wema sana ila kiukhalisia kwenye familia zao hata mgeni hakanyagi..!!

Ishi kulingana na budget iliyo ndani ya uwezo wako usitumie nguvu kubwa sana kuwafurahisha watu huku unateseka (mshumaa),

Habari mbaya ni kuwa at the end of the day baada ya kuwa hu-save wala kufanya maendeleo yoyote wewe ndiye utaonekana looser, hakuna mtu atakumbuka kile uli sacrifice kwa ajili yao..!! Shauri yako..!!

Mac Alpho

Enzi hizo tukiwa wadogo mzee alikuwa amejenga karibu kabisa na stand ya mabasi ya mkoa, basi ilikuwa hazipiti wiki kadhaa bila kuwa na wageni pale nyumbani, wengine walikuwa wakifikia pale ili kujiandaa na safari zao, wengine walifikia pale wakitoka kwenye safari zao, waijazana sana pale.

Mzee alipofariki sasa, wageni wakapungua, hata wakiwa na safari waliona wawe wanalala kwenye lodge badala ya kupita pale, nadhani walihisi kuwa hakuna raha watapa tena pale zaidi ya kuhitajika labda kusaidia (kitu ambacho hakikuwa uhalisia vile kutona stable economy iliyokuwepo ila ni mama aliamua kuwapiga PIN tu😄).

Ndugu na jamaa watamiminika kwake wakijua kuna vitu watafurahia, the moment huo mrija umekatika hatawaona na watamcheka.
 
Naunga Mkono hoja. Hawa Ndugu wanajifanya wanakufahamu wakati wa amani. Ukipitia changamoto za kiuchumi kidogo, hutawaona Tena . Na watakuwa wa kwanza kusema ulikuwa huweki akiba
Mkuu hili kama halijakufika au kumfika mtu wa karibu unaposema watu hawatakuelewa na kauli zao zitakuwa acha roho mbaya ,ila hawajui wema ukizidi sana ni hatari maana unaweza jitoa kwa watu matokeo yake hao hao uliojitoa kwao wasione na unapoyumba wakawa wakwanza kukucheka
 
Kimsingi mwanamke usipokuwa mkorofi kwa mumeo ndugu zako ndio wataijaza nyumba

Shida ni pale mke unakuwa mkorofi na unataka ndugu zako wakae...
 
🤣🤣🤣
Pole sana kijana, me ni mshangazi mwenye ushangazi wake mzuri tu
Kwahyo siku zile pale selfika mkanichezea cheusi chekundu?
Kwahiyo wewe sio yule uliekua umekalia mtumbwi? Niiweke ?

Sijapenda 😅
 
Back
Top Bottom