Nimechoka kuwa mwalimu

Nikupe Akili,
Nenda benki kakope afu ingia mtaani.

Tumia elimu yako ya uchumi na uhasibu uliyosomea ukajiajili.

Mambo yakinyooka mtaani,
achana na ishu za kupiga chaki.

Naamini utafanya vizur Sana katika ujasiliamali.
This is what am doing now hata bila mkopo, thou biashara kuna miezi inakuwa tight hatarii... but tunakaza, kinachonikwaza mimi ni kuwa nafanya kazi kwa masomo nisiyoyapenda kabisa. Ingekuwa Economics na account ningevimba.
 
Ungekua diploma ningesema ukasome degree ya uhasibu ila kwa sababu una degree labda uombe uhamisho uende shule zenye masomo yako..
 
1. Soma course upendayo Open Univesity huku ukiendelea kufundisha...,ukishahitimu unaweza kutafuta kazi kulingana na ulichosomea ukaachana na ualimu
2. Chukua mkopo wa maana bank invest kwenye business..,stress za shule zitapoozwa na profits utakazopata kwenye biashara.., ukiona biashara imesimama unaweza kuachana na ualimu
 
ongea na mkuu wako kuhusu namna ya kuanzisha masomo ya bookkeeping na commerce hapo shuleni kwenu.

mwakani unapanda daraja na utafurahi tu, penda ualimu, ni kazi takatifu iliyompendeza Bwana.
Bk na comm mwakani form one wanakuja 500 mwaka huu wako 300 mm natoboa vipi masomo mawili?
 
The stupidy things you can do ni kwenda kusoma chochote, ninachokushauri soma vitu vya mtaani kama
1.Coding
2.blogging
3.stock investment
4.cryptocurrency
5.social media marketing
6.Influencer n.k

Hivi vitakulipa hela nyingi baada ya miaka mitano kuliko hata mbunge (speaking from my experience) na utaacha kazi bira kuja kuomba ushauri wa MTU.

Sijui kwanini watu wanapenda elimu ya darasani wakati inawapa watu umaskini hata maprofesa tunaona wanafuga kuku.
 
Ushauri wangu;
Nenda kasome hiyo kozi No.2 uliyopendekeza.
Ukirudi hutapangiwa shule tena utakwenda halmashauri ofisi ya utumishi kama mtaalamu wa mafao.
NB: Zingatia ushauri huu.
 
Ushauri wangu;
Nenda kasome hiyo kozi No.2 uliyopendekeza.
Ukirudi hutapangiwa shule tena utakwenda halmashauri ofisi ya utumishi kama mtaalamu wa mafao.
NB: Zingatia ushauri huu.
Thank you, with due respect
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Nimekuelewa Sana Master
 
Dogo kama GPA nzuri omba kuhamia TET au Shirika la Elimu Kibaha au Vyuo vya CBE, TIA, AIA na vingine vingi Kama vipi kapige masters usepe
Ebu nisaidie mzee baba namna ya kuomba naandika barua kwa nani? Nina ndoto sana ya kufanya kazi vyuo vya kati. Hii kazi ya kufundisha watoto ishanichosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…