Nimechoka kuwa mwalimu

bado una akili za kitoto ukikua utajitambua, by the way bado mchanga kazi umeanza 2016, endelea kuchukia ualimu ipo siku utaupenda udereva bodaboda
Ni vyema utoa ushauri unaoeleweka moja kwa moja. Haya mafumbo yako hayataleta tija yoyote.

Kama kuna jambo mahsusi unaliona haliko sawa ni bora ulibainishe.
 
Nakufananisha na mwanamke aliyejipost yupo uchi halafu a nakwambia anafaa afanye kazi gani, Asee nakushauri ACHA KAZI YA UALIMU.
 
usiache kaz wapo watu weng wanataman walau wapate kaz kama yako
 
Mkuu naona uzi wa mwaka jana. Vipi maendeleo mkuu?
Nipo mkuu, napambana na maisha nje huku na Mungu ni mwema ila kazi sijaacha na siachi.
 
Yaani alius na kuzika kabisa. GPA 32[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi nakushauri acha

Watu wanazani kuteseka ni kubaya .Kuteseka mara nyingi ni razima ili mtu afanikiwe

Na kutokuacha pia ni risk.maana unarisk vile vitu ambavyo ungevipata ukiacha.
 
Wasomi wetu kuna mambo mengi sana hawajui.Wapi uliona kuna mshauri wa mafao wa Halmashauri?
 
Wasomi wetu kuna mambo mengi sana hawajui.Wapi uliona kuna mshauri wa mafao wa Halmashauri?
Hiko kitengo kweli hakipo! Vipi unaweza ukafanyaje kikaongezwa pale?
 
Mkuu nasikia ukisoma CPA ukafanyiwa recategorization unapewa mshahara wa kunazia wa bachelor! Kuna ukweli wowote?
CPA wanamishahara yao inatofautiana na mtu aliyesoma bachelor ya accountancy na hana CPA. Pia ukisoma hii itakutoa kuomba kuhamia mashirika mbalimbali ya umma yanayotangaza nafasi za kuhamia kwa watumishi wa umma. Fanya CPA kama utaweza . Kwa level yako ya elimu utaanza na ngazi ya Foundation, utafuta level ya Intermediate na utamalizia final level
 
May be nikuulize hivi! Ukipandishwa daraj tuseme ukiwa E1 ina mshahara ya 900+. Je kuna categorisation itakufanya uende na hio au utarudi kwenye 700+ anayoanza nayo wa bachelor!
Nina option 2 by next year, kusoma CPA au masters japo hapa kwa masters sinanua sana course ipi naweza soma but open. So btn the two i should go for 1 option! Ushauri pls.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…