4+GPA Inasomaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
4+GPA Inasomaje?
Andika barua kupitia kwa Mwajiri wako KUOMBA NAFASI ya kuhamia chuo chochote kinachofundisha masomo uliyosome [kama umeajiriwa]
Nimekupata mkuu kumbe ni ka process kakubwa kidgo ngoja nipambane nione km nitachomoka.Andika barua kupitia kwa Mwajiri wako KUOMBA NAFASI ya kuhamia chuo chochote kinachofundisha masomo uliyosome [kama umeajiriwa]
Ukijibiwa nafasi ipo ndio unaomba uhamisho UTUMISHI ukiambatisha barua ya uwepo wa nafasi
Inawezekana ni determination tuNimekupata mkuu kumbe ni ka process kakubwa kidgo ngoja nipambane nione km nitachomoka.
Achukue loan uje umpe odds 3 matata ligi zimeana mkuu,,,[emoji23][emoji23]Nikupe Akili,
Nenda benki kakope afu ingia mtaani.
Tumia elimu yako ya uchumi na uhasibu uliyosomea ukajiajili.
Mambo yakinyooka mtaani,
achana na ishu za kupiga chaki.
Naamini utafanya vizur Sana katika ujasiliamali.
Ndio najaribu kuangalia course poa kulingana na field yangu
Kabla hajafuata huu ushauri ni vema akayajua vema mazingira ya hapo alipo. Secondly, nimefanya kazi halmashauri kwa muda wa kutosha, sijawahi kuona mtu anaajiriwa kama mtaalamu wa maswala ya mafao kwenye halmashauri. Hofu yangu huyu mtu anaweza kupewaushauri ambao utakuja kumuongezea maumivu in the futureUshauri wangu;
Nenda kasome hiyo kozi No.2 uliyopendekeza.
Ukirudi hutapangiwa shule tena utakwenda halmashauri ofisi ya utumishi kama mtaalamu wa mafao.
NB: Zingatia ushauri huu.
We-come sana mkuu.Nakuja inbox
Kabla hajafuata huu ushauri ni vema akayajua vema mazingira ya hapo alipo. Secondly, nimefanya kazi halmashauri kwa muda wa kutosha, sijawahi kuona mtu anaajiriwa kama mtaalamu wa maswala ya mafao kwenye halmashauri. Hofu yangu huyu mtu anaweza kupewaushauri ambao utakuja kumuongezea maumivu in the future
Mkuu, mbona makasiriko sana, wakati hata serikali inaruhusu kuhama kituo cha kazi kwa sababu ya kukaa sehem moja kwa mda mrefu na kufanya upachoke na ufanye kazi kimazoea! Afu unadhan wote waliosoma wamesomeshwa? Wengine tumesoma kwa vibarua hivo unavovisema, siwez kuvibeza maana ndio vimeniweka hapa.pumbavu...wenzako wanalia ajira hakuna wew mpuuzi mmoja unadengua??? unaleta mashauzi kazin?? kuna watu huku wanaomba hata kibarua cha kusafisha madarasa na kusahihisha madaftar ya wanafunz, lkn wew umepata iyo kaz unaleta ubaguz na ujuaji?? ama kwel bahat humpata asiejua kutumia, oyaaa acha iyo kazi serkal itawaajil wanaotaka, hakuna muda wakubembelezana, huo ushaur wakijinga sjui wakusomea unachopenda watakupa wapumbv wasiojielewa, mtu umepata chance, bado huridhiki, yaan ndyo ninyi mkinyimwa ajira, mnapiga kelele na kutukana viongoz, mkipewa bado hamridhiki. acha iyo kaz njoo ktaani tubebe zege na kutwanga kokoto, maana uku pia utakutana na ujuz wako wa izo accountancy utaztumia kufanya biashara za vitumbua na kuuza mahindi choma....buree kabisa we kijana, ningekuwa mzaz wako, ungerudisha ada yangu[emoji41][emoji41]
Mkuu kuna kitu kinaitwa job satisfaction, sasa kuna ubaya gani mtu kujiongeza kutafuta kazi anayoipenda? Kupata kazi moja haimaanishi asitafute kazi nyingine yenye maslahi bora zaidi. Jaribu kuwa positive na struggles za watupumbavu...wenzako wanalia ajira hakuna wew mpuuzi mmoja unadengua??? unaleta mashauzi kazin?? kuna watu huku wanaomba hata kibarua cha kusafisha madarasa na kusahihisha madaftar ya wanafunz, lkn wew umepata iyo kaz unaleta ubaguz na ujuaji?? ama kwel bahat humpata asiejua kutumia, oyaaa acha iyo kazi serkal itawaajil wanaotaka, hakuna muda wakubembelezana, huo ushaur wakijinga sjui wakusomea unachopenda watakupa wapumbv wasiojielewa, mtu umepata chance, bado huridhiki, yaan ndyo ninyi mkinyimwa ajira, mnapiga kelele na kutukana viongoz, mkipewa bado hamridhiki. acha iyo kaz njoo ktaani tubebe zege na kutwanga kokoto, maana uku pia utakutana na ujuz wako wa izo accountancy utaztumia kufanya biashara za vitumbua na kuuza mahindi choma....buree kabisa we kijana, ningekuwa mzaz wako, ungerudisha ada yangu[emoji41][emoji41]
Fanya chchote kati hivyo baada ya miaka mitano utamshauri na mwingineNimekuelewa Sana Master
Jamani JPM alikuwa anatisha, msichukulie poa 🤣 🤣Unataka kunikumbushia enzi za Magu,kuna Mwamba alisema alimaliza Chuo na Hana ajira Hivyo anaitaka Serikali itoe ajira.Jiwe akamuuliza maswali Matatu tu,La kwanza ulisoma Chuo kikuu kipi Tz?,La pili ulisoma kozi gani?,La tatu Ulipata GPA ya ngapi?.Ninachokumbuka hadi leo ni kwamba yule Jamaa alisema alipata GPA ya 32, maswali mengine usiniulize jinsi alivyojibu.
[emoji3516]Wakuu habari, naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Nimesoma Education (bachelor of education in policy planning and management) nikispecialize kwenye Economics and accountancy kama teaching subjects, Sikuwahi kupenda kuwa mwalim lkn baada ya ukimaliza form six niliona sina option zaidi ya kuomba hio.
Sababu zilifanya niombe kwanza ni hali ngumu ya nyumbani na wigo mpana wa ajila na mkopo. Nilivomaliza chuo nilibahatika kufanya kazi shule kadhaa as private baadhi zinalipa vizuri zingine ndio hivo tena.
Mwaka 2016 nilibahatika kupata kazi serikalini, mwanzo nilifurahi lkn picha linaanza nilipangiwa shule na masomo ya kufundisha yakawa sawa yaan Economics and accountancy lakin shule niliyopangwa kwanza ni o level pili haina somo la biashara hata moja, nilivouliza nikaambiwa Bora nikubari nafundisha hata Civics maana shule iliyopo ya biashara ni moja tu na iko kijjn sana. Nilikubar na kuanza kazi mwanzo nilifundisha Civics baadae nikaona siwez nikahamia kwenye maths hadi sasa.
Changamoto ni nini? Nimechoka kufundisha vitu nisivovipenda, zaid pia ualim ni taaluma nzuri isiyokua na shukrani, haina fursa ya kukua au kuongezeka kitaaluma, kiuchumi inadumaza sana.
Msaada kwenu, what is the best, nirudi shule nikasome course mbadala? Au niombe uhamisho na kwa technique ipi ili nipate kulingana na masomo yangu ili nisipelekwe huko kufundisha commerce na bk wakat Ajira yangu ni ya Economics na account?
Kama ni shule je fursa ziko wapi kati ya kozi hizi nilizozipenda?
1. Insurance and risk management?
2. Social security hii sijui kirefu sana lkn inadeal na mifuko ya hifadhi za jamii.
3. Kama ipo nyingine in relation to business niambie.
Natanguliza shukrani, na samahani kwa uzi mrefu.
Unamaanisha UDSM kwa akina Profesa Kabudi na Kitila Mkumbo?Economist anashindwa ku create kitu cha kumpa furaha.
Wewe ndio ungetushauri sisi jinsi ya kuondokana na umasikini.
Ndio maana wanasemaga GPA ya 2.5 ya UDSM sawa na ya 3.5 ya UDOM na 4 ya TEKU.
Nasikitika kukudharau sana bro. Maana ni kama hamnazo vileEconomist anashindwa ku create kitu cha kumpa furaha.
Wewe ndio ungetushauri sisi jinsi ya kuondokana na umasikini.
Ndio maana wanasemaga GPA ya 2.5 ya UDSM sawa na ya 3.5 ya UDOM na 4 ya TEKU.
Anajiona kuwa wa maana kusoma chuo walimu wake ni akina KabudiNasikitika kukudharau sana bro. Maana ni kama hamnazo vile