Nimechoka kuwa mwalimu

Nimechoka kuwa mwalimu

Wakuu habari, naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Nimesoma Education (bachelor of education in policy planning and management) nikispecialize kwenye Economics and accountancy kama teaching subjects, Sikuwahi kupenda kuwa mwalim lkn baada ya ukimaliza form six niliona sina option zaidi ya kuomba hio.

Sababu zilifanya niombe kwanza ni hali ngumu ya nyumbani na wigo mpana wa ajila na mkopo. Nilivomaliza chuo nilibahatika kufanya kazi shule kadhaa as private baadhi zinalipa vizuri zingine ndio hivo tena.

Mwaka 2016 nilibahatika kupata kazi serikalini, mwanzo nilifurahi lkn picha linaanza nilipangiwa shule na masomo ya kufundisha yakawa sawa yaan Economics and accountancy lakin shule niliyopangwa kwanza ni o level pili haina somo la biashara hata moja, nilivouliza nikaambiwa Bora nikubari nafundisha hata Civics maana shule iliyopo ya biashara ni moja tu na iko kijjn sana. Nilikubar na kuanza kazi mwanzo nilifundisha Civics baadae nikaona siwez nikahamia kwenye maths hadi sasa.

Changamoto ni nini? Nimechoka kufundisha vitu nisivovipenda, zaid pia ualim ni taaluma nzuri isiyokua na shukrani, haina fursa ya kukua au kuongezeka kitaaluma, kiuchumi inadumaza sana.
Msaada kwenu, what is the best, nirudi shule nikasome course mbadala? Au niombe uhamisho na kwa technique ipi ili nipate kulingana na masomo yangu ili nisipelekwe huko kufundisha commerce na bk wakat Ajira yangu ni ya Economics na account?

Kama ni shule je fursa ziko wapi kati ya kozi hizi nilizozipenda?
1. Insurance and risk management?
2. Social security hii sijui kirefu sana lkn inadeal na mifuko ya hifadhi za jamii.
3. Kama ipo nyingine in relation to business niambie.

Natanguliza shukrani, na samahani kwa uzi mrefu.
Ualimu hauna kasoro hasa serikalini, chenye kasoro hapo ni ubongo wako kutokuziona fursa za kufanya ili hali bado upo kwenye ajira. Nawasilisha
 
Anajiona kuwa wa maana kusoma chuo walimu wake ni akina Kabudi
Nyinyi mnamihemko hamtafakari.
Yani mtu wa uchumi sombe msaada kwa wasio wachumi, inawaingia akilini kweli.
Basi tugeuze iwe GPA ya 2.5 ya TEKU na UDOM ndio 4 ya UDSM ili mfurahi maana nimewaudhi.
Hslafu hakuna mahala nimesema nimesoma UDSM.
 
You're right

Unalialia na benk zipo za kukopa na unasema ni muhasibu?au ndo ushakopa ukala bia mzee baba waliosoma sayansi kimu wasemeje
 
Peleleza ni shule gani wanafufisha masomo yako nenda kwa ded wako mwambie utapata uamisho.
 
Hawezi kuiona fursa kwenye ualimu wakati alisha adress kuwa haupend ualim

Pili kashasema aliingia kwa sababu ya kukosa option, kama msomi hiyo tu inatosha kumdisqualify katika ualim
 
Kuna jamaa alikuwa na mawazo kama yako nikamsisistiza sana tena mara nyingi mno asiache hiyo kazi aangalie fursa mbalimbali za kumpa kipato nje ya kazi yake maana wenzake wengi wanapiga pesa vizuri tu akaniona mimi boya fulani akapiga mzigo chini baada ya miezi miwili alikutana na msoto hadi saizi bado anakiona cha mtema kuni,penda kazi uliyonayo kikubwa inakupa kipato.
 
Usimtishe mwenzako kwani dunia imeshaisha kwa jamaako
 
pumbavu...wenzako wanalia ajira hakuna wew mpuuzi mmoja unadengua??? unaleta mashauzi kazin?? kuna watu huku wanaomba hata kibarua cha kusafisha madarasa na kusahihisha madaftar ya wanafunz, lkn wew umepata iyo kaz unaleta ubaguz na ujuaji?? ama kwel bahat humpata asiejua kutumia, oyaaa acha iyo kazi serkal itawaajil wanaotaka, hakuna muda wakubembelezana, huo ushaur wakijinga sjui wakusomea unachopenda watakupa wapumbv wasiojielewa, mtu umepata chance, bado huridhiki, yaan ndyo ninyi mkinyimwa ajira, mnapiga kelele na kutukana viongoz, mkipewa bado hamridhiki. acha iyo kaz njoo ktaani tubebe zege na kutwanga kokoto, maana uku pia utakutana na ujuz wako wa izo accountancy utaztumia kufanya biashara za vitumbua na kuuza mahindi choma....buree kabisa we kijana, ningekuwa mzaz wako, ungerudisha ada yangu[emoji41][emoji41]
akili yako ni mgando wewe.....maisha ni zaidi ya ajira lazima tufanye tunachokipenda ili kuongeza ubunifu kuliko kufanya mradi kazi nyambafu wewe. mtoa mada endelea kupambana usikate tamaa.
 
Nikupe Akili,
Nenda benki kakope afu ingia mtaani.

Tumia elimu yako ya uchumi na uhasibu uliyosomea ukajiajili.

Mambo yakinyooka mtaani,
achana na ishu za kupiga chaki.

Naamini utafanya vizur Sana katika ujasiliamali.
Ushauri mbaya sana huu. Usimpoteza mwenzio aje kujuta
 
Wakuu habari, naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Nimesoma Education (bachelor of education in policy planning and management) nikispecialize kwenye Economics and accountancy kama teaching subjects, Sikuwahi kupenda kuwa mwalim lkn baada ya ukimaliza form six niliona sina option zaidi ya kuomba hio.

Sababu zilifanya niombe kwanza ni hali ngumu ya nyumbani na wigo mpana wa ajila na mkopo. Nilivomaliza chuo nilibahatika kufanya kazi shule kadhaa as private baadhi zinalipa vizuri zingine ndio hivo tena.

Mwaka 2016 nilibahatika kupata kazi serikalini, mwanzo nilifurahi lkn picha linaanza nilipangiwa shule na masomo ya kufundisha yakawa sawa yaan Economics and accountancy lakin shule niliyopangwa kwanza ni o level pili haina somo la biashara hata moja, nilivouliza nikaambiwa Bora nikubari nafundisha hata Civics maana shule iliyopo ya biashara ni moja tu na iko kijjn sana. Nilikubar na kuanza kazi mwanzo nilifundisha Civics baadae nikaona siwez nikahamia kwenye maths hadi sasa.

Changamoto ni nini? Nimechoka kufundisha vitu nisivovipenda, zaid pia ualim ni taaluma nzuri isiyokua na shukrani, haina fursa ya kukua au kuongezeka kitaaluma, kiuchumi inadumaza sana.
Msaada kwenu, what is the best, nirudi shule nikasome course mbadala? Au niombe uhamisho na kwa technique ipi ili nipate kulingana na masomo yangu ili nisipelekwe huko kufundisha commerce na bk wakat Ajira yangu ni ya Economics na account?

Kama ni shule je fursa ziko wapi kati ya kozi hizi nilizozipenda?
1. Insurance and risk management?
2. Social security hii sijui kirefu sana lkn inadeal na mifuko ya hifadhi za jamii.
3. Kama ipo nyingine in relation to business niambie.

Natanguliza shukrani, na samahani kwa uzi mrefu.
Mkuu naona uzi wa mwaka jana. Vipi maendeleo mkuu?
 
This is what am doing now hata bila mkopo, thou biashara kuna miezi inakua tight hatarii... but tunakaza, kinachonikwaza mm ni kuwa nafanya kazi kwa masomo nisiyoyapenda kabisa. Ingekua Economics na account ningevimba

Ualimu siyo field yako mheshimiwa! Nenda kwenye uchumi unaoupenda! Unaweza ku exercise uchumi wako nje ya darasa na utafanikiwa! Ukishakuwa na kinyongo nankazi unayoiifanya jua hautafika nayo mbali!

Fursa ziko nyingi kwenye ualimu, masomo ya oo line yako mengi; ila Watanzania walikwisha karirishwa kuwa elimu ni mpaka uende chuoni!!! Aibu
 
The stupidy things you can do ni kwenda kusoma chochote ,ninachokushauri soma vitu vya mtaani kama
1.Coding
2.blogging
3.stock investment
4.cryptocurrency
5.social media marketing
6.Influencer n.k

Hivi vitakulipa hela nyingi baada ya miaka mitano kuliko hata mbunge (speaking from my experience) na utaacha kazi bira kuja kuomba ushauri wa MTU.

Sijui kwanini watu wanapenda elimu ya darasani wakati inawapa watu umaskini hata maprofesa tunaona wanafuga kuku.

mkuu wanafundisha wapi hiyo codding nimevutiwa na ushauri wako
 
Back
Top Bottom