Sasa viporo si vinavimbisha tumbo mkuu unakuwa una likitambi hilomi nimetoka huko sahivi modo.
ila kula sana vyakula vya mafuta yaani kula kula ovyo hata kama huna njaa alafu usifanye mazoezi uwe unalala lala has a mchana.pia viporo kwa sana
hata MBUYU ulianza kama MCHICHASasa viporo si vinavimbisha tumbo mkuu unakuwa una likitambi hilo
jaribu bahati yakoSasa viporo si vinavimbisha tumbo mkuu unakuwa una likitambi hilo
Una stress basi bila shaka.Mkuu hii diet inazidi kipato changu.
Mkuu temea mate chiniHabari za mida hii wakuu, nadhani mko salama.
Ni dawa gani ambayo mtu akitumia anaongezeka mwili? Mazoezi ya kwenda gym siyawezi kwa sababu ratiba yangu hainiruhusu.
Pia kama ni suala la chakula nimeshajaribu kula sana lakini wapi, hivyo basi ninauliza ni dawa gani ambayo nikitumia nitaongezeka mwili?
Nimechoka mwili mwembamba na kifua kama kidari cha kuku.
Kama ni mwanaumeKama kipi mkuu
Kwa siku lita moja? Haishauriwi kiafya?Asubuhi:
-Chapati tatu
-Supu ya Ngombe
-Soda baridiiiiiii
-Maji Baridiiiii ya nusu lita
Mchana
-Ugali Nyama
-SOda Baridiiiii
-Maji nusu Lita baridiiiiiii
Usiku
-Piga Nyama choma na ndizi
-Biereeee baridiiiiiiiiiii
Usipende kutembea sana mwendo mrefu.
Pia Pitia na Huu Ushauri wa Dr Othman Kwenye Hii Clip ni Muhimu sana.
Inategemea na body yake(Weight)...Amesema mwembamba kwahiyo 1ltr is enough.Kwa siku lita moja? Haishauriwi kiafya?
Mkuu hongera.Tumeumbwa tofauti na kila mmoja amepewa maumbile yake......
Ukiishi kwa kutaka kuwafurahisha wanadamu automatically unakuwa mtumwa wa fikra zao....
Mwanadamu hajawahi kuridhika wala kutosheka tangu kuumbwa kwa ulimwengu huu!!!...
Kila nati imeundwa mahususi wa ajili ya bolt yake!!!!
Ukiona mpenzi wako analalamikia sana maumbile yako ya kimwili basi ujue upo naye kimwili lakini sio kifikra!!!
NB
Kama umeamua hivyo kwa utashi wako sio mbaya
hahahah [emoji23] [emoji23] mwangalie baba au mama ni wanene? kama sio wanene basi jikubali tu, kama wa nene basi huenda una mawazo sanaaa,,, punguza mambo yetuHabari za mida hii wakuu, nadhani mko salama.
Ni dawa gani ambayo mtu akitumia anaongezeka mwili? Mazoezi ya kwenda gym siyawezi kwa sababu ratiba yangu hainiruhusu.
Pia kama ni suala la chakula nimeshajaribu kula sana lakini wapi, hivyo basi ninauliza ni dawa gani ambayo nikitumia nitaongezeka mwili?
Nimechoka mwili mwembamba na kifua kama kidari cha kuku.
Bia mkuu inaongeza weght. Mimi mwenyewe nikitaka kupungua lazima nipumzike kunywa.Ukitoa bia hapo uzito hauji?