Nimechoka kuwa mwembamba

Nimechoka kuwa mwembamba

mi nimetoka huko sahivi modo.
ila kula sana vyakula vya mafuta yaani kula kula ovyo hata kama huna njaa alafu usifanye mazoezi uwe unalala lala has a mchana.pia viporo kwa sana
Sasa viporo si vinavimbisha tumbo mkuu unakuwa una likitambi hilo
 
Habari za mida hii wakuu, nadhani mko salama.

Ni dawa gani ambayo mtu akitumia anaongezeka mwili? Mazoezi ya kwenda gym siyawezi kwa sababu ratiba yangu hainiruhusu.

Pia kama ni suala la chakula nimeshajaribu kula sana lakini wapi, hivyo basi ninauliza ni dawa gani ambayo nikitumia nitaongezeka mwili?

Nimechoka mwili mwembamba na kifua kama kidari cha kuku.
Mkuu temea mate chini
Unene unaboa sana
Utakosa vingi
 
Asubuhi:
-Chapati tatu
-Supu ya Ngombe
-Soda baridiiiiiii
-Maji Baridiiiii ya nusu lita

Mchana
-Ugali Nyama
-SOda Baridiiiii
-Maji nusu Lita baridiiiiiii

Usiku
-Piga Nyama choma na ndizi
-Biereeee baridiiiiiiiiiii

Usipende kutembea sana mwendo mrefu.

Pia Pitia na Huu Ushauri wa Dr Othman Kwenye Hii Clip ni Muhimu sana.
Kwa siku lita moja? Haishauriwi kiafya?
 
Tumeumbwa tofauti na kila mmoja amepewa maumbile yake......

Ukiishi kwa kutaka kuwafurahisha wanadamu automatically unakuwa mtumwa wa fikra zao....

Mwanadamu hajawahi kuridhika wala kutosheka tangu kuumbwa kwa ulimwengu huu!!!...

Kila nati imeundwa mahususi wa ajili ya bolt yake!!!!

Ukiona mpenzi wako analalamikia sana maumbile yako ya kimwili basi ujue upo naye kimwili lakini sio kifikra!!!

NB
Kama umeamua hivyo kwa utashi wako sio mbaya
Mkuu hongera.

Unaongeaga point sana kila nionapo comment yako.
 
Kunenepa rahisi, shughuli ni kukonda.
Kula sana vyakula vya wanga hasa wali na sukari!
 
Habari za mida hii wakuu, nadhani mko salama.

Ni dawa gani ambayo mtu akitumia anaongezeka mwili? Mazoezi ya kwenda gym siyawezi kwa sababu ratiba yangu hainiruhusu.

Pia kama ni suala la chakula nimeshajaribu kula sana lakini wapi, hivyo basi ninauliza ni dawa gani ambayo nikitumia nitaongezeka mwili?

Nimechoka mwili mwembamba na kifua kama kidari cha kuku.
hahahah [emoji23] [emoji23] mwangalie baba au mama ni wanene? kama sio wanene basi jikubali tu, kama wa nene basi huenda una mawazo sanaaa,,, punguza mambo yetu
 
isije ikawa una roho mbaya tu?,ila miili inatafautiana,kuna rafiki yangu namfahamu tokea darasa la kwanza hajawahi kuwa na mwili wala kitambi na anakula kama viwavi jeshi,kama na wewe unamwili wa aina hiyo cha kufanya ni kuridhika tu na kushukuru mungu,sie wengine tukijisahau wiki tu au wiki mbili tunagain kilo 5.
 
Back
Top Bottom