Nimechoka kuwa mwembamba

Nimechoka kuwa mwembamba

Nimetamani kungekua kubadilishana mwili nikupe huu wangu.
 
Nimetamani kungekua kubadilishana mwili nikupe huu wangu.
Mtoto wa Tripple 7.
Vipi club yao. Nakumbuka zama za Kikwete ilikuwa inajaza mpaka Ac zinazidiwa. Kuna wakati nilikuwa naingia saa nane ili nikute watu wamepungua
 
Mpaka miaka mi4 iliyopita nilikuwa mwembamba sana. Yaani nilikuwa sijawahi kunenepa.
Kuna option kadhaa za kunenepa. Best option ni mazoezi, wengi wanachukulia mazoezi ni kwa ajili ya kupungua tu. What I did,
1. Chakula - nilianza kula milo mi 5 kwa siku. Siyo lazima iwe mikubwa ila kula kula haswa. Basically nilikuwa nakula saa 1 asubuhi, saa 4 asubuhi, saa 7 mchana, saa 10 jioni na saa 2 usiku.

2. Mazoezi - ingawa hutaki mazoezi ila kula peke yake utanenepa kwa kuwa na nyama zembe, unahitaji mazoezi kunenepa kwa shape. Ila avoid mazoezi kama ya kukimbia maana yanatumia calories nyingi na hutumika kupunguza unene, nyama zembe na mambo mengine.

3. Protein shakes - kwa kuwa balance diet ni gharama na sometimes siyo rahisi kupata, basi tafuta protein shake. Be careful hapa, kuna fake na utofauti wa content. Pia tumia kiasi, zinahitaji nidhamu.
Sisi wa mazoezi tunapenda protein shake yenye high protein low calories. Kwa kuwa calories(energy) za ziada usizotumia huleta unene/nyama uzembe. Balance is the key. Ukiihitaji contact za anayeuza ni cheki pm.

4. Consistent - usifanye hivyo vitu wiki moja au mwezi ukaacha. Hutovuka. Jipe atleast 4 months. Hakikisha unachukua vipimo mwanzo na kila wiki. Wewe unaweza ona hakuna maendeleo ila yapo.

5. Mapumziko - tunavyoambiwa tunahitaji 8 hours za kulala, si masihara. Ni muhimu sana sana aisee.

Lastly usitake kunenepa tu, nenepa ki afya, maana unene mbaya ni tatizo kubwa mno.

Mfano mzuri wa mwili ni kama mmea. Hauhitaji maji tu, inahitaji pia mbolea, jua, uangalizi.
 
usile nyama choma......kila siku usiku kula wali mida ya saa tano halafu ulale...........mchana au jioni nenda kwenye kitimoto mwambie akuwekee mafuta matupu na chips aweke mafuta mengi ...asubuhi supu na chapati za kutosha,........lala masaa 12 kila siku kwa miezi miwili....utaitwa bonge.....
 
Asubuhi:
-Chapati tatu
-Supu ya Ngombe
-Soda baridiiiiiii
-Maji Baridiiiii ya nusu lita

Mchana
-Ugali Nyama
-SOda Baridiiiii
-Maji nusu Lita baridiiiiiii

Usiku
-Piga Nyama choma na ndizi
-Biereeee baridiiiiiiiiiii

Usipende kutembea sana mwendo mrefu.

Pia Pitia na Huu Ushauri wa Dr Othman Kwenye Hii Clip ni Muhimu sana.
Mbona sijaona nyama takatifu aliyo nyimwa mtume?
 
Asubuhi:
-Chapati tatu
-Supu ya Ngombe
-Soda baridiiiiiii
-Maji Baridiiiii ya nusu lita

Mchana
-Ugali Nyama
-SOda Baridiiiii
-Maji nusu Lita baridiiiiiii

Usiku
-Piga Nyama choma na ndizi
-Biereeee baridiiiiiiiiiii

Usipende kutembea sana mwendo mrefu.

Pia Pitia na Huu Ushauri wa Dr Othman Kwenye Hii Clip ni Muhimu sana.
Huku ni kupotoshana. Hapa atakuwq anayatengenezea mazingira magonjwa yote ambayo sio ya kuambukizwa.
 
Habari za mida hii wakuu, nadhani mko salama.

Ni dawa gani ambayo mtu akitumia anaongezeka mwili? Mazoezi ya kwenda gym siyawezi kwa sababu ratiba yangu hainiruhusu.

Pia kama ni suala la chakula nimeshajaribu kula sana lakini wapi, hivyo basi ninauliza ni dawa gani ambayo nikitumia nitaongezeka mwili?

Nimechoka mwili mwembamba na kifua kama kidari cha kuku.
Weee ni ke au ni me.
Kama ni ke.. zaa mara moja kama ni me fanya mazoezi ya viungo kwa miezi miwili tuu mwili utaachia huo
 
Sipendi unene.

Mi nilikuwa na kg 80, nimepiga mazoezi ya nguvu na kupunguza kula, sasa nina kg 68.

Sasa nikiona mtu mnene, nina muona ni mtu asiye na nidhamu kwenye lishe. Namshangaa sana.
Hongera sana. Mimi lishe ya wali ndo mchawi wa wangu.
 
Back
Top Bottom