Wanasema huku hanma Ila huwa najiuliza watu waliopo mtaani sindo hawa wapo huku.Wapo hata huku na anaweza kupata the best version.. Tusimkatishe tamaa
Huko unako ishi hamna wanawake mpaka uchoke kuwa singo?Nahitaji mchumba tupendane kwa dhati, kwa idhini ya Mungu aniite mume nimuite mke
Vigezo vya nimtakae ni hivi.
1 Awe anaishi dar
2 Asiwe na mtoto.
Dini sibagui
Mimi pia naishi dar
Umri wangu 33
Dini yangu muslim.
Hahahaha😂sijui tofauti iko wapiWanasema huku hanma Ila huwa najiuliza watu waliopo mtaani sindo hawa wapo huku.
Naomba nikupe mdogo angu shem....Nahitaji ndoa
BAK alikua mutu ya muziki, mwabukusi mbona sio kichwa cha mziki kile 😁I think BAK ni Mwabukusi
Afadhari jamaa kachoka kutumia mikonoNaomba nikupe mdogo angu shem....
Wewe Muislam anza ibada hudhuria sana Msikitini ukishamaliza swala vizia kwenye ile milango ya wanawake huko utapata mke,Mkristo pia akiiona hii afanye hivyo hivyo huwa nashangaa mtu anatafutaje mke mtandaoni wakati imani anayo na hizo imani wanafanya both wa kike na wa kiume?Nahitaji mchumba tupendane kwa dhati, kwa idhini ya Mungu aniite mume nimuite mke
Vigezo vya nimtakae ni hivi.
1 Awe anaishi dar
2 Asiwe na mtoto.
Dini sibagui
Mimi pia naishi dar
Umri wangu 33
Dini yangu muslim.
Kwahiyo wanawake waliopo mtandaini kanisani hawapo ?Wewe Muislam anza ibada hudhuria sana Msikitini ukishamaliza swala vizia kwenye ile milango ya wanawake huko utapata mke,Mkristo pia akiiona hii afanye hivyo hivyo huwa nashangaa mtu anatafutaje mke mtandaoni wakati imani anayo na hizo imani wanafanya both wa kike na wa kiume?
Na miaka 33 umeshachelewa unaenda kusomesha wajukuu sooner or later.
Ndiyo hao hao but atakuwa anatafuta kitu huku anakiona,ok hapa atokee mwanamke amuelewe waanze utaratibu wa kutafutana mara kuombana picha kuwekeana siku za kuonana mwisho wa siku amuone asimpendeze.Kwahiyo wanawake waliopo mtandaini kanisani hawapo ?
Ila Wewe 🤣🤣🤣Nikitaka cha asubuhi atanambia hana mood😅
Ndiyo hao hao but atakuwa anatafuta kitu huku unakiona,ok hapa atokee mwanamke amuelewe waanze utaratibu wa kutafutana mara kuombana picha kuwekeana siku za kuonana mwisho wa siku amuone asimpendeze.
Ni vurugu,ingekuwa mimi ndiyo nipo hatua hiyo hizo ndiyo sehemu ninge-target kupata mwenza
Bro naomba lakiTembelea vyuo vya ualimu/nesi,mtaa kwa mtaa unaweza kupata anayekufaa; huku kwingine utapata wa kukusaidia matumizi.