Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Unaniita bro, unataka uninyime nini?Bro naomba laki
Unaniita bro, unataka uninyime nini?Bro naomba laki
Hapana! Mimi nilioa nikiwa na 35! Huo ndo umri ukiwa umekomaa na kukauka kooo! Nikifika 60 ya kustaafu nitakuwa na mtoto graduate 25yrs na wajukuu. Kwahiyo 33 ndo umri sahihiWewe Muislam anza ibada hudhuria sana Msikitini ukishamaliza swala vizia kwenye ile milango ya wanawake huko utapata mke,Mkristo pia akiiona hii afanye hivyo hivyo huwa nashangaa mtu anatafutaje mke mtandaoni wakati imani anayo na hizo imani wanafanya both wa kike na wa kiume?
Na miaka 33 umeshachelewa unaenda kusomesha wajukuu sooner or later.
Nadra sana ,,,,,Wapo hata huku na anaweza kupata the best version.. Tusimkatishe tamaa
Hakika mkuu !Kwa hii comment yako mkuu natangaza rasmi kua hii thread imefungwa.
Azingatie hii comment.
Case closed.
Mwanamme unatafuta mchumba JF? Warembo wamejaa huko mtaani, nyumba za ibada, vikao vya harusi (au navyo huendi?), Au unachangamsha baraza!! Kama ni kweli basi utakuwa na changamoto za kushindwa kutongoza( unahisi aibu kuomba mzigo basi piga gambe kidogo kuondoa nishai 😂 ili manzi umcholee mistari!!) ukosefu wa hela( tafuta pesa wanawake wanapenda pesa hata awe mcha mungu kiasi gani) au bahili sana (Mkuu kama unataka mchumba ubahili wako ufiche kwanza, mwanamke yeyote anapenda vijizawadi, pesa, mpe pesa haijalishi ana swali swala 5 au haswali kabisa, wewe mpe hela, mpe pesa mpe njururu).Nahitaji mchumba tupendane kwa dhati, kwa idhini ya Mungu aniite mume nimuite mke
Vigezo vya nimtakae ni hivi.
1 Awe anaishi dar
2 Asiwe na mtoto.
Dini sibagui
Mimi pia naishi dar
Umri wangu 33
Dini yangu muslim.