Nimechoka kuwa single

Nimechoka kuwa single

Status
Not open for further replies.
kiukweli nimechoka kuwa single
miaka yangu ni 23
nipo mkoa wa DSM
nime maliza chuo
pia sjawahi kukutana na mwanaume
ninayo tu.
We utakuwa hauna mvuto kwa wanaume...haiwezekani binti mdogo kama we ukose kijana au mzee wa makamo ...ebu angalia tabia yako na sura pia
 
Inawezekana una uoga wa kut bw
au hauna utayali wakuwa kwenye mapenzi wanaokutongoza wapo
ila mara nyingi tatizo mnamkuwaga mnazingua tu wenyewe sio kwamba hakuna kjana aliyeku approach ila basi tu unatafuta chaguo lako mara nyingi huwa mnaangukia kwa wanaume chapa ilale
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom