Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Subiri wajeWakuu mambo yasiwe mengi kabla ya huu mwaka kwisha ninampango wa kununua helikopta niwe napigia misele hapa town kwamfano nikitaka kwenda ofisini asubuh nakurudi nayo jioni nyumbani mana mambo ya kukaa foleni nimejiona nachelewa sana kazini, naombeni kujua ni chopa gani nzuri kwa kwenda nayo kazini, bajeti yangu ni kama bilioni 6 sijajua itakizi au niongeze ngapi ili ifiti hitaji langu
Unakitafuta Kifo mkuu helkopta haiitaji ukanjanja...Wakuu mambo yasiwe mengi kabla ya huu mwaka kwisha ninampango wa kununua helikopta niwe napigia misele hapa town kwamfano nikitaka kwenda ofisini asubuh nakurudi nayo jioni nyumbani mana mambo ya kukaa foleni nimejiona nachelewa sana kazini, naombeni kujua ni chopa gani nzuri kwa kwenda nayo kazini, bajeti yangu ni kama bilioni 6 sijajua itakizi au niongeze ngapi ili ifiti hitaji langu
Helkopta Kwa mazingira ya hapa Tanzania kama individual ni very risk mkuumkuu unaniombea mabaya au unanishauri ?
Amcheki Adam garage wa tunduma atamsukia Moja newKuna moja ipo Tunduma brand-new.Cheki na wenyeji wa huko kama unawafahamu wakuunganishe.
kumbe ni mtu wa Muleba nilijua tu kwa hayi misifaHabari za hapo Muleba mkuu
Ukilewa usitumie simu. Ona sasa aibu unayowapa wazazi wako. Wanaonekana waliuza ng'ombe ili wapeleke ng'ombe nyingine shule.
hata na mimi naishi Japanhata muleba penyewe sipajua papo vipi mi ni mzaliwa wa mbeya, mkulia wa dar es kwa sasa naishi canada ila kwa tz karibia mikoa mingi nimekaa angalau miez 6
Haimfai.Anagonga kachaso aka gongo.Atavunjika ugoko.Nunua Boda boda! Au uwe unaamka saa 9 alfajiri utakuwa unawahi.
IL76 Russian made👼🏇Wakuu mambo yasiwe mengi kabla ya huu mwaka kwisha ninampango wa kununua helikopta niwe napigia misele hapa town kwamfano nikitaka kwenda ofisini asubuh nakurudi nayo jioni nyumbani mana mambo ya kukaa foleni nimejiona nachelewa sana kazini, naombeni kujua ni chopa gani nzuri kwa kwenda nayo kazini, bajeti yangu ni kama bilioni 6 sijajua itakizi au niongeze ngapi ili ifiti hitaji langu
Ila wahaya bwana, kwa hyo huko Canada umeshindwa kupata taarifa za kutosha za ununuzi wa hiyo kitu hadi uje kuuliza huku kwa watu ambao asilimia kubwa wapo Mpwapwa, Uyui, Migato na Mpanda?hata muleba penyewe sipajua papo vipi mi ni mzaliwa wa mbeya, mkulia wa dar es kwa sasa naishi canada ila kwa tz karibia mikoa mingi nimekaa angalau miez 6
malengo ya maana sana na ya kimageuzi kwa nyakati hizi za sasa,Wakuu mambo yasiwe mengi kabla ya huu mwaka kwisha ninampango wa kununua helikopta niwe napigia misele hapa town kwamfano nikitaka kwenda ofisini asubuh nakurudi nayo jioni nyumbani mana mambo ya kukaa foleni nimejiona nachelewa sana kazini, naombeni kujua ni chopa gani nzuri kwa kwenda nayo kazini, bajeti yangu ni kama bilioni 6 sijajua itakizi au niongeze ngapi ili ifiti hitaji langu
tatizoo hilooo baba kwani jamiiforums ni mtandao wa tigo au voda kusema unapatikana tz tu? Hapa naongea na dunia we hujaona wadau wametoa info, usiwe mjuaji saivi dunia kijijiIla wahaya bwana, kwa hyo huko Canada umeshindwa kupata taarifa za kutosha za ununuzi wa hiyo kitu hadi uje kuuliza huku kwa watu ambao asilimia kubwa wapo Mpwapwa, Uyui, Migato na Mpanda?
Kijiji cha nyokotatizoo hilooo baba kwani jamiiforums ni mtandao wa tigo au voda kusema unapatikana tz tu? Hapa naongea na dunia we hujaona wadau wametoa info, usiwe mjuaji saivi dunia kijiji