Nimechoka maisha ya ughaibuni

Huku bongo kibarua wa kiwandani analipwa elfu 4-8.
Danganywa na watu waliojaribu kuondoka nchini wakashindwa sababu hawana qualification zinazohitajika kwenda nchi za watu. Wanataka urudi mpauke kwa pamoja.

Danganywa na watoto wa walamba asali uje uungue jua bongo!

Eti nyumba nyumba! mna nyumba ninyi wabongo au mna vibanda? labda 20% ya wabongo ndio wana nyumba.
 
b
binti wewe unanyumba au kibanda👏
 
Yani kuna watu hata hio nafasi ya kuja ulaya wanaitamani mkuu[emoji23] asikudanganye mtu bongo kugumu mpaka basi..
Yani kama itokee wamese ndege izi 3 zinatupeleka ulaya kwa yoyote anaetaka ila kazi ni kuwa waokota takataka nakuhakikishia mi ntakua siti namba 1 Hakya Mungu.
kuliko kupauka Bongo heri upauke ulaya... hata ukirudi huna mia potelea pote ...ntafikia mvomero uko kama Dar naona aibu
kwanza sioni aibu ikibidi unapotelea hukohuko sio mbaya
 
Karibu O block chi town tumuenzi Odee!!!Jiunge na piru gangs ufurahie maisha hapo Harlem!!!😎😎
 
Hilo jina lako tu linaakisi ulivyo. Kama umri wako ni 50+ rudi tu bongo.
 
Unataka ukapige watu mizinga, mhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…