Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Unataka kwenda ulaya??Yani kuna watu hata hio nafasi ya kuja ulaya wanaitamani mkuu[emoji23] asikudanganye mtu bongo kugumu mpaka basi..
Yani kama itokee wamese ndege izi 3 zinatupeleka ulaya kwa yoyote anaetaka ila kazi ni kuwa waokota takataka nakuhakikishia mi ntakua siti namba 1 Hakya Mungu.
kuliko kupauka Bongo heri upauke ulaya... hata ukirudi huna mia potelea pote ...ntafikia mvomero uko kama Dar naona aibu
kwanza sioni aibu ikibidi unapotelea hukohuko sio mbaya
Anayetoboa akienda ughaibuni ni yule ambaye angetoboa hata akibakia Tanzania. Nimekaa nje ya Tanzania(Europe 6yrs, Middle East 2yrs) lakini nimeona asilimia kidogo sana ndo wanatoboa.
Unahitaji kuwa smart na uishi maisha halisi, ufanye savings sana starehe iwe kidogo sana. Mtu akiwaza maisha ya Bongo yalivyo magumu kiutafutaji kama huna wazazi ambao ni well off, halafu akapata nafasi ya kwenda nje kutafuta, halafu akatumia anachokipata kwa magari ya kukodi, gamble na maisha ya Rick Ross, huyu binafsi namuweka kundi moja na mbweha pori
Hata saa hiziUnataka kwenda ulaya??
Mkuu burundi nakupa connection kabisa. Ila Kama passport unayo.Hata saa hizi
sio tu ulaya hata burundi kwa jinsi bongo palivyonichosha
Asante sana babe goodmorningKipenz mida ya kulala hii achana na hao chaputa
Njoo nikubembeleze
Ukitaka kufaidi life la mbele usiwe na maisha mawili... yaani africa na mbele hapo utainjoi.Ama hakika maisha ya ughaibuni kwa ujumla yamenichosha jamani yaanj sio poa kabisa yaani kutwa kushinda uko pekee yako hamna vijiwe vya kahawa na kashata kama huko bongo yaanj kutwa kufanya kazi saving ni kipengele sana kwasababu unafanya kazi mara ulipie mortgage, mara ilipie car rent hamna kuwapiga watu mizinga kama huko kwenu
Baada maisha ya new Harlem New York kunishinda nimeamua kuhamia Wisconsin angalau nipunguze Gharama ya maisha kidogo maana maisha yalikuwa sio poa viwanja vya starehe ni gharama sana nataka nipambane kidogo nihamie Kentucky nika hang na waAfrika wenzangu angalau nitaenda kupata miguu ya kuku kama huko uswahilini aisee
Yani kuna watu hata hio nafasi ya kuja ulaya wanaitamani mkuu[emoji23] asikudanganye mtu bongo kugumu mpaka basi..
Yani kama itokee wamese ndege izi 3 zinatupeleka ulaya kwa yoyote anaetaka ila kazi ni kuwa waokota takataka nakuhakikishia mi ntakua siti namba 1 Hakya Mungu.
kuliko kupauka Bongo heri upauke ulaya... hata ukirudi huna mia potelea pote ...ntafikia mvomero uko kama Dar naona aibu
kwanza sioni aibu ikibidi unapotelea hukohuko sio mbaya
Mwacheni arudi nyumbani amesha zoea shida huyo. Inaonyesha mtoto wa mama anapenda kukaa Vijiweni na ikifika wakati wa kula mam yake amesha mtayarishia chakula. Huku nje tuliopo sisi hakuna uzembe na wala uvivu na wala kumtegemea mtu maisha yanakwenda mbele hakuna kurudi nyuma. Ulaya hivi sasa huku baridi kali sana usipofanya kazi huwezi kula na wala huwezi kwenda chooni. Hapa ni Kazi tu uvivu no.Tajiri ukirudi bongo mwezi tu utapakumbuka mwenyewe kiwanja [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787]Anayetoboa akienda ughaibuni ni yule ambaye angetoboa hata akibakia Tanzania. Nimekaa nje ya Tanzania(Europe 6yrs, Middle East 2yrs) lakini nimeona asilimia kidogo sana ndo wanatoboa.
Unahitaji kuwa smart na uishi maisha halisi, ufanye savings sana starehe iwe kidogo sana. Mtu akiwaza maisha ya Bongo yalivyo magumu kiutafutaji kama huna wazazi ambao ni well off, halafu akapata nafasi ya kwenda nje kutafuta, halafu akatumia anachokipata kwa magari ya kukodi, gamble na maisha ya Rick Ross, huyu binafsi namuweka kundi moja na mbweha pori
tatizo passport mkuuNjoo tupotelee huku ughaibuni. Ukirudi bongo umeiva mbaya
Karibu BirminghamAma hakika maisha ya ughaibuni kwa ujumla yamenichosha jamani yaanj sio poa kabisa yaani kutwa kushinda uko pekee yako hamna vijiwe vya kahawa na kashata kama huko bongo yaanj kutwa kufanya kazi saving ni kipengele sana kwasababu unafanya kazi mara ulipie mortgage, mara ilipie car rent hamna kuwapiga watu mizinga kama huko kwenu